CDE Abdallah Zidane F (@abdallahzidane_) 's Twitter Profile
CDE Abdallah Zidane F

@abdallahzidane_

Social Worker| Project Officer | Sextortion Champion 2022| Mindset power| Spiritual power| Voice power.

ID: 1393789240912265216

calendar_today16-05-2021 04:44:17

5,5K Tweet

742 Followers

628 Following

Mohammed Kawaida (@comradekawaida) 's Twitter Profile Photo

UJUMBE WANGU KWA VIJANA WENZANGU .. Watu wenye furaha zaidi ninaowafahamu daima wanajitathmini na kujiboresha ila watu wasio na furaha kwa kawaida huwatathmini na kuwahukumu wengine .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima #KaziNaUtuTunasongaMbele

UJUMBE WANGU KWA VIJANA WENZANGU
..
Watu wenye furaha zaidi ninaowafahamu daima wanajitathmini na kujiboresha ila watu wasio na furaha kwa kawaida huwatathmini na kuwahukumu wengine
..
#SautiYaVijana 
#MtotoWaMkweziNaMkulima 
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Alex M Mbalulo (@alexmbalulo) 's Twitter Profile Photo

🟢 KATIBU MKUU UVCCM TAIFA 🕜 Saa 02:00 Asubuhi 🗓️ 19 April 2025. 📍 JNICC-DAR ES SALAAM. ____________________________________ Ndugu Jokate Mwegelo Jokate Mwegelo Ambae ni Katibu Mkuu UVCCM TAIFA UVCCM TZ atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa "SAMIA FIRST TIME VOTERS" JNICC-DSM.

🟢 KATIBU MKUU UVCCM TAIFA
🕜 Saa 02:00 Asubuhi
🗓️ 19 April 2025.
📍 JNICC-DAR ES SALAAM.
____________________________________
Ndugu Jokate Mwegelo <a href="/jokateM/">Jokate Mwegelo</a> Ambae ni Katibu Mkuu UVCCM TAIFA <a href="/uvccm_tz/">UVCCM TZ</a>  atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa "SAMIA FIRST TIME VOTERS" JNICC-DSM.
Taasisi ya Ustawi wa Jamii (Chuo cha Ustawi) (@taasisiyaustawi) 's Twitter Profile Photo

Watumishi wa #chuochaustawiwajamii kampasi ya Dar es Salaam wameungana na wenzao Katika Viwanja vya Tanganyika Parkers kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani. #labourday #ISW #hudumahukuzamaendeleo

Watumishi wa #chuochaustawiwajamii kampasi ya Dar es Salaam wameungana na wenzao Katika Viwanja vya Tanganyika Parkers kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani. 

#labourday 
#ISW 
#hudumahukuzamaendeleo
Taasisi ya Ustawi wa Jamii (Chuo cha Ustawi) (@taasisiyaustawi) 's Twitter Profile Photo

Wahadhiri #ChuochaUstawiwaJamii wapatiwa mafunzo mfumo mpya wa Digital Books Library unaolenga kuwawezesha wanafunzi kupata vitabu kwa njia ya mtandao. #ElimuMtandaoni #DigitalLibrary

Wahadhiri #ChuochaUstawiwaJamii wapatiwa  mafunzo mfumo mpya wa Digital Books Library unaolenga kuwawezesha wanafunzi kupata vitabu  kwa njia ya mtandao.

#ElimuMtandaoni #DigitalLibrary
Mohammed Kawaida (@comradekawaida) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeongoza kikao Maalum cha Kamati ya Utekelezaji cha Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kuelekea kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa kitakachofanyika tarehe 23/05 Dodoma ... #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima #TunazimaZoteTunawashaKijani

Mohammed Kawaida (@comradekawaida) 's Twitter Profile Photo

Nikitoa salamu zangu kwa niaba ya UVCCM mbele ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dan Rowden.hmwinyi wakati wa ufunguzi wa Tawi la CCM la Mpendae Juu iliyofanyika jana tarehe 17/06, Mpendae, Zanzibar .. #SautiYaVijana #MtotoWaMkweziNaMkulima

Mohammed Kawaida (@comradekawaida) 's Twitter Profile Photo

#OKTOBATUNATIKI✅✅ #OKTOBATUNATIKI✅✅ #OKTOBATUNATIKI✅✅ #OKTOBATUNATIKI✅✅ #OKTOBATUNATIKI✅✅ #OKTOBATUNATIKI✅✅ #OKTOBATUNATIKI✅✅

#OKTOBATUNATIKI✅✅
#OKTOBATUNATIKI✅✅
#OKTOBATUNATIKI✅✅
#OKTOBATUNATIKI✅✅
#OKTOBATUNATIKI✅✅
#OKTOBATUNATIKI✅✅
#OKTOBATUNATIKI✅✅
Taasisi ya Ustawi wa Jamii (Chuo cha Ustawi) (@taasisiyaustawi) 's Twitter Profile Photo

Hatua za kuthibitisha kujiunga na Chuo cha Ustawi wa Jamii kwa Wanafunzi waliochaguliwa na vyuo zaidi ya kimoja kwa ngazi ya shahada ya kwanza. Mwisho wa kuthibitisha ni tarehe 21 Septemba, 2025

Taasisi ya Ustawi wa Jamii (Chuo cha Ustawi) (@taasisiyaustawi) 's Twitter Profile Photo

Dirisha la tatu la udahili kwa ngazi ya Shahada ya kwanza (Bachelor degree) liko wazi hadi tarehe 10/10/2025. 📱Jisajili sasa kupitia tovuti ya: oas.isw.ac.tz

Dirisha la tatu la udahili kwa ngazi ya Shahada ya kwanza (Bachelor degree) liko wazi hadi tarehe 10/10/2025.

📱Jisajili sasa kupitia tovuti ya: oas.isw.ac.tz