Abbas mbassa (@abbasmbassa) 's Twitter Profile
Abbas mbassa

@abbasmbassa

Me

ID: 870524357960794113

calendar_today02-06-2017 06:15:55

214 Tweet

93 Followers

566 Following

Abbas mbassa (@abbasmbassa) 's Twitter Profile Photo

2020 ni mwaka wa wanaume wambea wanaokaa vijiweni, hivi mnapopiga umbea na kuchambua maisha ya wanaume wenzenu mnafaidika nini?

Abbas mbassa (@abbasmbassa) 's Twitter Profile Photo

Ninaomba mnieleweshe Ubunge ni dhamana au ni ajila? Kuna wabunge hawakumbuki jambo hili wanabaki kuomba kura tuu. Wakipewa kura wanaokimbia kula Ubunge.

Abbas mbassa (@abbasmbassa) 's Twitter Profile Photo

Mziki ni mzuri ila maneno yaliyomo ndani Utsikia (aiwekeiweke, chomeka kwa chini) anaimba kuuza kwakua wanunuzi hawamjui anachokiimba.

Abbas mbassa (@abbasmbassa) 's Twitter Profile Photo

Mnaolilia katiba mpya ikipatikana tutafaidika vipi sisi wanyonge? Au mnataka katiba ilimtunyonye vizuli? Nikitazama wengine niwenyeviti wa vyama tangu 1995,je katiba hazipo huko na kama zipo kwanini wasiwaachie na wengine ili wawe washauli. Katiba hainamashiko kwangu.

Abbas mbassa (@abbasmbassa) 's Twitter Profile Photo

Sioni amefuta wapi tangu nijiandikishe kupata mbolea ya ruzukku meseji sijatumiwa nikienda kwa wakala hatoi bila kuona ujumbe niliotumiwa na mvua ndio hiyo inaniacha