Haroun BMW ๐Ÿš˜ (@aaronb_255) 's Twitter Profile
Haroun BMW ๐Ÿš˜

@aaronb_255

ALHAMDULLILAH ๐Ÿ™

ID: 1388510660909314048

linkhttps://instagram.com/aaronb_255?igshid=OGQ5ZDc2ODk2ZA== calendar_today01-05-2021 15:10:16

7,7K Tweet

1,1K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Sijui sasa Iddi Amini Mama anakwenda kufunga misikiti yote au inakuwaje? limesomwa neno hapo na sio mama ambayo huyo dikteta anakubaliana nayo Mmechokoza sana vitu sasa tunasikia sauti za kina namna kupinga urais wa Samia, haya yanatokea sababu ya hizo roho chafu anazofanya

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu. Repost Repost Repost

Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.

Repost Repost Repost
Haroun BMW ๐Ÿš˜ (@aaronb_255) 's Twitter Profile Photo

โ€” ukikaa na akili kama hiyo, maisha yatakufungulia baraka nyingi. Mapenzi mazuri, watu sahihi, na nafasi bora Upo njiani kuwa mtu wa thamani sana โ€” sio tu kwa wanawake/wanaume, bali hata kwa dunia.