Ahmed M.Nyang'anyi (@a_nyanganyi) 's Twitter Profile
Ahmed M.Nyang'anyi

@a_nyanganyi

ID: 930344448055283712

calendar_today14-11-2017 07:59:36

27 Tweet

164 Followers

1,1K Following

Ahmed M.Nyang'anyi (@a_nyanganyi) 's Twitter Profile Photo

Mstakabali wa muendelezo wa taifa letu ni kuundaa vijana wazalendo, waadilifu, waaminifu na wachapakazi ili kuleta ustawi wa maendeleo kwa nchi husika.Nawatakia kila la kheri UVCCM Taifa naimani mtafungua ukurasa mpya kwa kuchagua Viongozi makini na wenye tija kwa CCM na taifa.

Ahmed M.Nyang'anyi (@a_nyanganyi) 's Twitter Profile Photo

.....''Imani uzaa Imani'' Vijana wamekuamini nenda kajenge Jumuiya ilio makini na imara...Hongera sana Ndg. Kheri James kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa,

...Kwa niaba ya wafanyakazi wa Nyati Cement tumtembelea wagonjwa na tumewasilisha michango katika Hospitali ya Vijibweni, Kigamboni....

.....Kwa niaba ya wafanyakazi wa Nyati Cement tumtembelea na kuwasilisha michango yetu katika kituo cha kulea watoto yatima, Maweni Kigamboni...

........Bila ya Mapinduzi kusingekuwa na Muungano, na Uimara wa Muungano wetu imetokana na Mapinduzi...Tuwaheshimu Waasisi wetu Hayati Mwl. Nyerere na Karume..

....Hongera Chama cha Mapinduzi kwa kutimiza miaka 41 , ni moja ya kielelezo cha ubora na utekelezaji wa sera nzuri ambayo imechangia kwa kiasi kikubwa kuleta msukumo wa maendeleo katika sekta mbali mbali hapa nchini.....

Ahmed M.Nyang'anyi (@a_nyanganyi) 's Twitter Profile Photo

......'' Tunaamini kwamba maendeleo ya afrika yataletwa na waafrika wenyewe nasi vinginevyo''....Serikali inaendelea kutekeleza ilani ya CCM kwa vitendo kwa kuboresha sekta ya usafiri wa reli ( Standard Gauge) ambayo itafungua fursa za kiuchumi kwa taifa letu.....

.....Umeacha alama na umeandika historia katika medani za siasa kwa kupigania ukombozi, haki na usawa kwa wananchi wa Afrika ya kusini, Pumzika kwa amani.....

Nukuu ya Hayati Sokoine “Wajibu wa kila Mtanzania, kila familia na kila anayekula ni kujilisha mwenyewe. Si wajibu wa Taifa kumlisha mtu. Unaweza ukasaidiwa unapopatikana na janga, Lakini ni wajibu wa kila mtu aweze kujitosheleza kwa chakula na atoe ziada kwa Taifa”

......MIAKA 54 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR...''Muungano Wetu ni wa Mfano Duniani Tuuenzi,Tuulinde Tuuimarishe na Kuudumisha kwa Maendeleo ya Taifa Letu''....

...Tunaendelea kutekeleza ilani ya CCM kwa uzinduzi wa barabara kuu ya kaskazini kutoka Dodoma, Kondoa hadi Babati yenye urefu wa kilomita 251..pia ni moja ya barabara kuu inayounganisha bara la afrika ikitokea Cape Town mpaka Cairo, itafungua fursa nyingi za uchumi kwa wananchi.