They made us study Civics & GS like rights and democracy were real. Kumbe ilikuwa usanii tu, CCM wanafanya wanachotaka ukijifanya ulielewa somo tu they threaten you, arrest you and silence you. Biggest scam ever!!!
My contribution to this #NRNE movement is simple: blocking every clueless vegetable that doesn’t align with the movement and liking every NRNE comment. If you see a comment with 1 like ni yangu😌
Ila watu wako busy na scandle waliyotengenezewa meanwhile wale wapuuzi wanapumua sasa knowing all along most of you watawapatia kwenye mipira na nguvu za kiume. In my next life naomba niwe mwalimu wa watu wazima niwacharazeee wababa na wamama wasio na akili kama nyinyi🚮🚮🚮🚮🚮
Vin'gora vinakwaza hasa kukiwa na foleni like ain't no way wa mbele anaweza mpanda wa nyuma ili wewe your excellence upite!!!!stay in line tungoje foleni!!! we all want to get home early and watch that saa mbili habari💔🚮
Huda is so delusional she needs to go back home🙌🙌Sis thinks she is Cardi B because why is she calling everyone a BITCH!! and also can we close her chapter and focus on the others
#LoveIslandUSA #NRNE