
follow me i follow you back
@_nzige_
ID: 1414987022847127554
13-07-2021 16:36:38
792 Tweet
1,1K Takipรงi
1,1K Takip Edilen







APEWE MAUA YAKE AKIWA HAI!!! Kumwachia Chama kipindi kigumu kama hiki na bado mambo yanaenda sawa it's no easy Wakuu. Huyu bwana ni chuma, Chuma kweli kweli. You got my respect Comrade John Heche ๐ซก


Ujumbe kutoka gerezani wa Mh. Tundu Antiphas Lissu Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna








