Kijana Mpole (@_kijanampole) 's Twitter Profile
Kijana Mpole

@_kijanampole

Niite mangi ✌🏽.

ID: 1223596603270889472

linkhttps://linktr.ee/_kijanampole calendar_today01-02-2020 13:19:16

9,9K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Kijana Mpole (@_kijanampole) 's Twitter Profile Photo

Mangi si hata sokoni kila mtu ana fungu lake la Nyanya, karoti, hoho, vitunguu kuna mtu anauza sana na kuna mtu anauza/hauzi kabisa kwenye siku husika ndio hivyo hivyo kwenye Wage/salary. Wengi sisi tunangoja mshahara tulipe madeni halafu tukope tena sisi ndio faida kwa watu πŸ˜‚

Kijana Mpole (@_kijanampole) 's Twitter Profile Photo

Wewe ni mwanaume wangu na nnakupenda sana na ntakufwatilia, hapa anasema nitapigwa mzigo mpaka pale utakapoamua kuacha kusimp kwangu πŸ˜‚

Trojan Horse 🎭 (@anon_codex) 's Twitter Profile Photo

Wajiriwa pesa ya mwezi huu usiendekeze hanasa 🫡🏾 Acha kutoa wanawake out ambazo hazina faida kwako kumbuka hakuna mwanamke ana huruma na pesa zako 🫡🏾 Jipende

Boniface Chengula (@bohny_chengula) 's Twitter Profile Photo

Mtu kamaliza chuo 2018 alafu leo ndio yupo kwenye mafunzo ya ajira TRA, hajaoa, hajaanza kufanya savings, familia yake haijaanza kumtegemea, aloo