BELINDA (@_belindapinda01) 's Twitter Profile
BELINDA

@_belindapinda01

GOD IS GOODπŸ“

||| @manutd ||| @simbaSCTanzania

ID: 1576883910159507458

calendar_today03-10-2022 10:36:47

27,27K Tweet

11,11K Followers

9,9K Following

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Bondia Leonardo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I really like the Idea πŸ˜‚πŸ™†β€β™‚οΈ Angalia mpaka mwisho. Video kwa Comments πŸ‘‡

Bondia Leonardo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

I really like the Idea πŸ˜‚πŸ™†β€β™‚οΈ

Angalia mpaka mwisho.

Video kwa Comments πŸ‘‡
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema watakaohitaji kutumia daraja la JP Magufuli kwa ajili ya kupiga picha au kurekodi video za muziki watalazimika kuomba kibali Wizara ya Ujenzi kupitia Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Wengi wameona habari ya ugunduzi wa dawa ya lenacapavir ya Marekani inayozuia maambuzi ya HIV kwa zaidi ya 99.99%. Ila wachache wametambua kuwa miongoni mwa jopo la wataalamu walio gundua dawa hiyo ni Muafrika kutoka Uganda yaani Dkt Alex Kintu mwenye PhD toka Harvard University.

lastking (@lastking1602) 's Twitter Profile Photo

β˜“ Bila followers ni kujiongelesha ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back ✍️ Mwisho kabisa mnifollow takadini_003πŸ‡―πŸ‡²πŸ€•πŸ Kwa pamoja tutafika 10k βœŒοΈπŸ‘‡