Ubaya Ubwela (@_nufeila) 's Twitter Profile
Ubaya Ubwela

@_nufeila

Shabiki wa Mnyama ๐Ÿฆ
Mkulima wa Mahindi๐ŸŒฝ na Maharage ๐ŸŒฑ

karibu Dodoma na Nakuru

ID: 2769994120

linkhttps://youtu.be/q9FMpHZTPXU?feature=shared calendar_today14-09-2014 12:16:31

15,15K Tweet

925 Followers

751 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi. Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. Katika kipindi

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi.

Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. 

Katika kipindi
Inside the Haramain (@insharifain) 's Twitter Profile Photo

His Eminence the Grand Mufti of Saudi Arabia, Sheikh Abdulaziz Al Sheikh, received His Excellency Sheikh Dr. Abdulrahman Al-Sudais, President of Religious Affairs at the Two Holy Mosques, along with Sheikh Badr Al-Turki, Sheikh Dr. Waleed Al-Shamsan, and a delegation from the

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan akiruhusu magari kuanza kupita katika Daraja la JP Mgufuli (Kigongo-Busisi) jijini Mwanza mara baada ya kuzindua daraja hilo. Daraja hilo lina urefu wa kilometa 3 na barabara unganishi yenye urefu wa kilometa 1.66.

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema watakaohitaji kutumia daraja la JP Magufuli kwa ajili ya kupiga picha au kurekodi video za muziki watalazimika kuomba kibali Wizara ya Ujenzi kupitia Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza.

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡ โžก๏ธ Mechi ya Ufunguzi wa CHAN itapigwa Benjamin Mkapa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Jumamosi Agosti 2, 2025 โžก๏ธ Mechi ya mshindi wa tatu itapigwa Kampala, Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ โœ… Fainali itapigwa Nairobi, Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Agosti 30, 2025

๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡

โžก๏ธ Mechi ya Ufunguzi wa CHAN itapigwa Benjamin Mkapa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Jumamosi Agosti 2, 2025

โžก๏ธ Mechi ya mshindi wa tatu itapigwa Kampala, Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ

โœ… Fainali itapigwa Nairobi, Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Agosti 30, 2025
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ninawashukuru sana Simiyu. Mwenyezi Mungu awajaalie baraka na neema, mwendelee kuyaona na kunufaika na matunda ya kazi za uongozi wa nchi yenu. Ahsanteni sana.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kufanikisha jawabu la changamoto ya maji kwa wananchi 450,000 kwa kuzindua Mradi wa Maji wa Butimba, nilipata wasaa kuzungumza na wananchi katika Uwanja wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kirumba. Imekuwa jioni nzuri Jijini Mwanza, tukimshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Account rasmi za timu ya Barcelona zimepost picha hii ya Gavi akiwa mbugani nchini Tanzania. Bado ninaamini kuna namna bora zaidi ya kutumia fursa za ujio wa watu hawa mashuhuri kuitangaza nchi yetu na sekta ya Utalii kwa ujumla.

Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ CAF imetangaza kanuni kuu kabla ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho msimu wa 2025/26: ๐Ÿ“Œ Julai 31: Tarehe ya mwisho kwa mashirikisho ya wanachama kuwasilisha vilabu vitakavyoshiriki ๐Ÿ“‹ Vilabu vinaweza kusajili wachezaji hadi 40 ๐Ÿ” Substitution 5 kwa

๐Ÿšจ CAF imetangaza kanuni kuu kabla ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho msimu wa 2025/26:

๐Ÿ“Œ Julai 31: Tarehe ya mwisho kwa mashirikisho ya wanachama kuwasilisha vilabu vitakavyoshiriki

๐Ÿ“‹ Vilabu vinaweza kusajili wachezaji hadi 40

๐Ÿ” Substitution 5 kwa
ู‚ู†ุงุฉ ุงู„ุฅุฎุจุงุฑูŠุฉ (@alekhbariyatv) 's Twitter Profile Photo

ุงุนุชุจุงุฑู‹ุง ู…ู† ุงู„ูŠูˆู….. ูุฑุถ ุฑุณูˆู… ู†ู‡ุงุฆูŠุฉ ู„ู…ูƒุงูุญุฉ ุงู„ุฅุบุฑุงู‚ ุนู„ู‰ ุงู„ูˆุงุฑุฏุงุช ู…ู† ุงู„ุตูŠู† ูˆุชุงูŠูˆุงู† #ุงู„ุฅุฎุจุงุฑูŠุฉ