VYETI VITATU: (@yupacyossouf) 's Twitter Profile
VYETI VITATU:

@yupacyossouf

The Truth Seeker/BaeD/
UDSM alumni/Azam Fc,Man United & Real Madrid fan

ID: 1388768151798693888

calendar_today02-05-2021 08:12:03

91,91K Tweet

8,8K Takipçi

974 Takip Edilen

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Kama sio roho mbaya za watu wa CCM na Serikali yao jufungia huu mtandao mtu unaweza kushangaa kodi ya nyumba unalipiwa na Elon kiutani utani.. Acheni roho za kichawi Wakuu...

Kama sio roho mbaya za watu wa CCM na Serikali yao jufungia huu mtandao mtu unaweza kushangaa kodi ya nyumba unalipiwa na Elon kiutani utani..

Acheni roho za kichawi Wakuu...
Revline Mbugi (@revlinembugi) 's Twitter Profile Photo

Shahidi wa kwanza ambae ni police alimkamata mtuhumiwa wa uchochezi ambae ni fundi umeme,badala ya kupelekwa Mahakamani kwa makosa yake amegeuzwa Kuwa Shahidi dhidi ya Mwenyekiti wetu Lissu. Nchi inamambo mengi Sana hii.

sonnia🌹 (@femdysaidi) 's Twitter Profile Photo

Leo Nlikua Mahaka kuu, Ila kwa ufupi tu Niseme- -Moja, TAL anajua anachokifanya🙌🏻 -pili, wale jamaa kwenye cross-examination Hawatokuja wamuweze Goat ,TAL🔥🙌🏻

Leo Nlikua Mahaka kuu, Ila kwa ufupi tu Niseme-

-Moja, TAL anajua anachokifanya🙌🏻

-pili, wale jamaa kwenye cross-examination Hawatokuja wamuweze Goat ,TAL🔥🙌🏻
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 219 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Cross Examination Shahidi wa Jamhuri Coplo Amani. Coplo Amani.: mimi sijalisema tu kama wewe umelisema basi ndio umesema. Mhe. Lissu: Ni kweli kwamba P3 alikwambia kuwa ni mwanachama wa CHADEMA, kweli au si

Dr. Keroche Moro. (@nchiahadi) 's Twitter Profile Photo

Mdogo wangu Joseph alipigwa Risasi ya kichwa Trh 29 October Mwaka jana akiwa anenda Dukani kununua maji akafariki alaafu kuna mtu anajiita mbunge yuko bungeni kupitia damu ya mdogo wangu Joseph hapana hapana hapana 😭😭😭😭.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Serikali isiyoweza kutengeneza hata ushahidi wake ulionyoka mahakamani, haiwezi kutengeneza uchumi proper kwa wananchi wake. Never. Usitegemee kuona mambo makubwa ya kiuchumi kwa akili hizi tunazokuana nazo mahakamani. Kimsingi, hatuna nchi hapa. We’re living in a no-man’s-land.

𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Sijui ndo nazeeka ila nimekuja kushtukia hakuna Utajiri mkubwa kama AFYA. Yaani mwanangu kama umezaliwa hunaga shida ndogo wala kubwa za Kiasfya shukuru zana Mungu aisee!

VYETI VITATU: (@yupacyossouf) 's Twitter Profile Photo

Hili joto hapa gheto linachochea sana swaum kuwa kali, hapa ninunue tu beseni moja kubwa nilijaze maji niwe nakaa nalo gheto kama nipo kwenye swimming pool 😂

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu Show; The Legal Titan. Mfumo wa sheria wa Tanzania, kesi za uhujumu uchumi, mauaji, ugaidi au uhaini zinaanzia katika mahakama za chini. Mfano, Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa hatua ya Committal Proceedings. Huko ndiyo msingi wa kesi. Hatua hii si kutoa hukumu, ni

Tundu Lissu Show; The Legal Titan.

Mfumo wa sheria wa Tanzania, kesi za uhujumu uchumi, mauaji, ugaidi au uhaini zinaanzia katika mahakama za chini. Mfano, Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa hatua ya Committal Proceedings. Huko ndiyo msingi wa kesi.

Hatua hii si kutoa hukumu, ni