Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile
Wanaume Connect

@wanaumeconnect

Mwanaume ni kichwa, Mamlaka ulipewa na Mungu |Hatuhitaji Chama Cha Utetezi| Tunahitaji umoja wetu
#JukwaaLaWanaume #LifeConsultant FORUM

ID: 1558648424370737153

linkhttps://t.me/wanaumeeconnect calendar_today14-08-2022 02:55:32

2,2K Tweet

11,11K Followers

5 Following

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Je, unajua umuhimu wa kufanya mazoezi hasa strength training? Kama unataka kujiunga na program zangu za kupungua, kupungua kitambi & kujenga misuli nitumie neno “COACH” kwa msaada zaidi.

Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni, -Kwenda Gym -Kufanya kazi kwa bidii -Kula vyakula halisi na salama -Kumuamini Mungu kwa kila jambo Vingine vyote ni KELELE.

Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

Wewe ni Mwanaume; 1. Amka kabla ya 5am 2. Tembea zaidi 3. Funga kila asubuhi 4. Lala mapema 5. Kunywa maji ya chumvi 6. Usiongee sana 7. Nyanyua vitu vizito 8. Sikiliza zaidi 9. Tumia muda kuwa peke yako 10. Wapuuzie wanaokusema vibaya Maisha yako ni jukumu lako kwa 100%.

Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

Mbinu kwa wanaume; 1. Usioneshe hisia 2. Kaa kimya unapovunjiwa heshima 3. Kuwa mtulivu kwenye hali tata 4. Ongea taratibu na kujiamini 5. Tembea ukiwa umeinua kichwa juu

Mfalme👑🇹🇿 (@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Kufikia malengo ya mwili wako, acha kula kwa usiku sana & acha kula matakataka. Pia, usile mapema sana au kwa kuchelewa sana. Chakula chako cha mwisho kiwe 7pm & Chakula chako cha kwanza kiwe 11am. Unatakiwa kuishi hivyo maisha yako yote.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

VITU 10 AMBAVYO WENGI WANAJIFUNZA KWA KUCHELEWA: 1. Usifirisike kwa kuwathibitishia watu kuwa una hela. 2. Tunza hela itakuja kukutunza baadae. 3. Maisha yako ya baadae yapo mikononi mwako mwenyewe. 4. Gharama ya kuwa na marafiki wengi ni kurithi matatizo yao, wapunguze. 5.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Ukipata nafasi ya kuota jua, fanya hivyo. Jua sio ADUI kama wanavyosema wao, wanataka uwe na hofu kisha ununue SUNSCREEN. Moja ya chanzo kikubwa cha nguvu ya binadamu na maisha ulimwenguni ni JUA. -Jua hurekebisha mvurugiko wa homoni -Jua huondoa cravings na njaa ya mara kwa

Ukipata nafasi ya kuota jua, fanya hivyo. Jua sio ADUI kama wanavyosema wao, wanataka uwe na hofu kisha ununue SUNSCREEN.

Moja ya chanzo kikubwa cha nguvu ya binadamu na maisha ulimwenguni ni JUA.

-Jua hurekebisha mvurugiko wa homoni
-Jua huondoa cravings na njaa ya mara kwa
Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

Ni wiki mpya; -Jenga misuli -Punguza kuruka ruka -Pendelea kuoga maji ya baridi Kumbuka ya msingi; -Fanya mazoezi -Oga maji ya baridi -Kunywa maji na chumvi -Usifanye mzaha na kazi inayokuingizia kipato -Kula mara mbili/moja -Funga masaa 17 It’s a new week to crush some goals.

Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

“Usioe mwanamke aliyekuzidi umri” Dickdriven “We Mfalme, ms3nge,kwa ground unateswa kinoma na mapenzi” Wanadhani sijui utamu wa Kummer. Haijalishi cheo & pesa- ukioa aliyekuzidi kuliona jua - UMEKWISHA Rais wa Ufaransa Marcon akichapwa kibao na mkewe.

Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

Kama umezaliwa mwanaume kubali; 1. Sio kila unayempenda atakupenda pia 2. Sio kila unachokitaka utakipata 3. Sio kila unayemuhitaji atakuhitaji Matumizi ya akili yawe mengi kuliko hisia, Hii itakusaidia kutopoteza muda.

Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

Wanaume, usichague mwanamke kwa klhisia, Kamwe usioe wanawake hawa: 1. Nesi 2. Feminists 3. Wanasheria 4. Wenye tattoo 5. Single mothers 6. Wasichana wa out sana Unaweza kufurahi na kulala nao lakini haimaanishi unafaa kuwaoa. Sio kila mwanamke ni wife material.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

KANUNI 14 ZA MAHUSIANO: 1. Mwanamke anayejifanya mgumu kupatikana, hakupendi- usipoteze muda 2. Mwanamke akikukatalia mara moja, usimpe nafasi ya kukukatalia mara ya pili 3. Kamwe usikubali/usivumilie kuvunjiwa heshima na mwanamke 4. Tongoza wanawake wengi kabla ya mwaka

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Kadri unavyojishughulisha kumpa muda na kumjali sana mwanamke, ndivyo anavyoacha kukujali. Kadri unavyojaribu kumfurahisha, ndivyo anavyopoteza heshima na mapenzi kwako. Kadri unavyokuwa mpole kwake, ndivyo anavyokuwa mkali kwako. Kadri unavyojihadhari kutomkosea, ndivyo

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

KANUNI 12 ZA UHAKIKA ZA MAFANIKIO 1. Amini nafsi yako. Kujiamini ni msingi wa mafanikio. Lazima uamini thamani yako na ujisikilize. 2. Tengeneza bahati yako. Mafanikio hutokana na mipango makini. Kumbuka: ukishindwa kupanga, umepanga kushindwa. 3. Jiweke karibu na watu

Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

Kujua unachopaswa kufanya hakutoshi kuleta mabadiliko. Unahitaji kuchukua hatua. Hatua huleta taarifa zaidi. Taarifa zaidi huleta ujuzi. Ujuzi huleta kujiamini. Sasa unaona kwa nini unahitaji kuchukua hatua? Kiasi kidogo cha hatua kinazidi mzigo wa nia.

Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

Kinahakikisha kudumu kwa mahusiano yako, hasa kama mwanaume, ni nguvu zako — si maadili yako. Unaweza kuwa mpole, mwema na wa kupendeza, lakini kama huna nguvu, kuna kitu kitakufika. Likumbuke hili.