World Press Freedom Day (2025) (@wpfd_tz) 's Twitter Profile
World Press Freedom Day (2025)

@wpfd_tz

THEME: Reporting in the Brave New World: The Impact of Artificial Intelligence on Press Freedom and the Media | #WPFD | #WPFD2025

ID: 1647898116224417792

calendar_today17-04-2023 09:43:10

432 Tweet

451 Followers

39 Following

IMS in Tanzania (@imstanzania) 's Twitter Profile Photo

Kutoka maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duncan, #Arusha, #Tanzania: Waziri Mkuu, amewaeleza wadau wa habri kuwa serikali inapitia sera ya habari ya 2003 na kuandaa mkakati kuhusu akili mnemba; masuala haya yalijitokeza katika matakwa ya wadau wa habari.

Union of Tanzania Press Clubs (@utpctz) 's Twitter Profile Photo

“Natamani sana kuona waandishi wa habari wa Tanzania wakibadilisha aina ya habari wanazoandika ambazo zitalenga kukuza uchumi wa Tanzania, ningekuwa na uwezo ningewabadilisha waone umuhimu huo. Habari ina uwezo wa kubadilisha aina ya maisha ya watu ki-uchumi” - Paul Makonda -

Waziri Mkuu Majaliwa: Maadili, Ujasiriamali na Utamaduni Vipewe Kipaumbele katika Tasnia ya Habari Akizungumza kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika mkoani Arusha katika hoteli ya Gran Melia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Majaliwa: Maadili, Ujasiriamali na Utamaduni Vipewe Kipaumbele katika Tasnia ya Habari

Akizungumza kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika mkoani Arusha katika hoteli ya Gran Melia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Wadau wa Habari kupitia Maazimio waliyoyatoa katika Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025 wameeleza kuwa kadiri Akili Mnemba (AI) inavyoathiri Uandishi wa Habari, wanapendekeza kuwepo kwa Mifumo madhubuti ya Kitaifa ya kusimamia matumizi yake kwa Uwajibikaji katika

Tech & Media Convergency (TMC) (@mediaconvergecy) 's Twitter Profile Photo

📢 📢 #𝗪𝗣𝗙𝗗𝟮𝟬𝟮𝟱 𝗶𝘀 𝗻𝗼𝘄 𝗟𝗜𝗩𝗘! Join global conversations on media freedom, ethical AI, and the future of journalism. Don’t miss out! 📺 Watch the live stream here: youtube.com/live/VwkwAJSkj…

📢 📢 #𝗪𝗣𝗙𝗗𝟮𝟬𝟮𝟱 𝗶𝘀 𝗻𝗼𝘄 𝗟𝗜𝗩𝗘!

Join global conversations on media freedom, ethical AI, and the future of journalism. Don’t miss out!

📺 Watch the live stream here:

youtube.com/live/VwkwAJSkj…
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mwakilishi wa UNESCO Nchini Tanzania, Michel Toto amesema Uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu katika Jamii za Kidemokrasia Ametoa wito kwa wadau wa Sekta ya Habari kuzingatia kuwa

Akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mwakilishi wa UNESCO Nchini Tanzania, Michel Toto amesema Uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu katika Jamii za Kidemokrasia

Ametoa wito kwa wadau wa Sekta ya Habari kuzingatia kuwa
Media Focus on Africa Uganda (@mfauganda) 's Twitter Profile Photo

28/04:#Arusha:🇹🇿 #WPFD national celebration we, Media Council of Kenya,Twaweza - ni sisi TZ Media Foundation & ,Nukta Africa discussed the impact of #AI on Media Sustainability-in the region. Calls to report & fund public interest journalism, innovate based on audience research, train, embrace #AI.

28/04:#Arusha:🇹🇿 #WPFD national celebration  we, <a href="/MediaCouncilK/">Media Council of Kenya</a>,<a href="/Twaweza_NiSisi/">Twaweza - ni sisi</a> <a href="/NewTMF/">TZ Media Foundation</a> &amp; ,<a href="/NuktaAfrica/">Nukta Africa</a> discussed the impact of #AI on Media Sustainability-in the region. Calls to report &amp; fund public interest journalism, innovate based on audience research, train, embrace #AI.
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Wadau wamesema kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, wanasisitiza umuhimu wa kuhakikisha Usalama na Heshima ya Waandishi wa Habari Nchini, wakitoa wito kwa Serikali, Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wanasiasa na Jamii kwa ujumla kuhakikisha Waandishi wanalindwa dhidi ya

ARUSHA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaulinda Uhuru wa Habari na inafanya hivyo kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali wakiwemo Wadau wa Habari Amesema hayo katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yanayofanyika Kitaifa katika Hoteli Grand

ARUSHA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaulinda Uhuru wa Habari na inafanya hivyo kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali wakiwemo Wadau wa Habari

Amesema hayo katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yanayofanyika Kitaifa katika Hoteli Grand
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika kuboresha Mazingira ya Sekta ya Habari, Wadau wanatakiwa kutoa maoni zaidi kuhusu Sera ya matumizi ya Akili Mnemba (AI) iweje, wakati huo huo

IMS in Tanzania (@imstanzania) 's Twitter Profile Photo

From #WPFD2025 commemorations in #Arusha, #Tanzania: The Embassy of #Switzerland in #Tanzania continues to play a key role in supporting local media development efforts and initiatives, including the IMS programme in #Tanzania.

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itayapokea maoni ya Wadau wa Habari na itayafanyia kazi hata kama itakuwa ni masuala ya mabadiliko ya Sera, Kanuni au Sheria Ameeleza hayo katika Maadhimisho hayo ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025, ambapo Kaulimbiu

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini, Susan Ngongi akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya WPFD 2025 amesema Akili Mnemba (AI) si tena dhana ya nadharia ya mijadala, ni uhalisia unaobadilisha kwa kina namna tunavyotengeneza, kusambaza na kupokea taarifa, hivyo maamuzi ya

ARUSHA: Akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema “Uandishi usiofuata Maadili unaweza kuwa chanzo cha kuporomoka kwa Tamaduni, Mila na Desturi zetu, na hii ndiyo sababu ya kuwepo kwa Vyombo vya

ARUSHA: Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Mwesigwa Felician amesema Mtandao wa Telegram hauna shida na unafanya kazi kama kawaida Amesema hayo baada ya kuulizwa swali na Mdau katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya

ARUSHA: Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Mwesigwa Felician amesema Mtandao wa Telegram hauna shida na unafanya kazi kama kawaida

Amesema hayo baada ya kuulizwa swali na Mdau katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Balozi wa Uswisi-Tanzania, Nicole Providoli amesema Mijadala iliyofanyika katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025 imeonesha faida na changamoto zinazoweza kusababishwa na Akili Manemba (AI), pia imegusia suala la uhakiki wa Taarifa ambalo nalo ni la

ARUSHA: Kuna changamoto ya baadhi ya Taasisi za Serikali kushindwa kuwa ‘Active’ katika kujibu kwa wakati kuhusu taarifa mbalimbali zinazokuwa zinasambaa Mtandaoni Hayo yamesemwa na Nuzulack Dausen kutoka Nukta Africa ambaye ameongeza kuwa “Wanapofanya hivyo kuna Watu wanaweza

ARUSHA: Kuna changamoto ya baadhi ya Taasisi za Serikali kushindwa kuwa ‘Active’ katika kujibu kwa wakati kuhusu taarifa mbalimbali zinazokuwa zinasambaa Mtandaoni

Hayo yamesemwa na Nuzulack Dausen kutoka Nukta Africa ambaye ameongeza kuwa “Wanapofanya hivyo kuna Watu wanaweza
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiAfrica, Maxence Melo anasema “Katika kufanikisha elimu ya kukabiliana na taarifa potofu, tumewajengea uwezo Wadau wa Habari kukabiliana na changamoto ya taarifa potofu, tumekuwa tukifanya hivyo kwa Wadau mbalimbali.” Ameongeza "Tuliamua

ARUSHA: Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiAfrica, Maxence Melo anasema “Katika kufanikisha elimu ya kukabiliana na taarifa potofu, tumewajengea uwezo Wadau wa Habari kukabiliana na changamoto ya taarifa potofu, tumekuwa tukifanya hivyo kwa Wadau mbalimbali.”

Ameongeza "Tuliamua
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Akizungumzia suala la uhakiki wa Taarifa, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo amesema kupitia JamiiCheck.com wanashirikiana na Wanachi kuwaonesha kile kinachofanyika kwa kuwa ni sehemu ya Elimu ya kuelewa mchakato wa uhakiki wa Taarifa potofu