Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile
Tanzania Embassy | USA

@ubaloziusa

The official account of The Embassy of Tanzania to The United States of America. Also accredited to Mexico.

ID: 631591463

linkhttp://us.tzembassy.go.tz calendar_today10-07-2012 02:01:45

622 Tweet

4,4K Followers

392 Following

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Tumefurahi sana kuona Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kikiwa mwenyeji wa mashindano ya Mdahalo (Mlimani Open Debate) siku ya Jumapili, yaliyojumuisha washindani kutoka vyuo vikuu saba vya Tanzania na vyuo vikuu vinne vya Marekani: Morehouse College, Virginia State University (VSU),

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania, Marekani kuendelea kukuza ushirikiano wa uchumi kupitia biashara na uwekezaji Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo, akiambatana na Mratibu wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), Tanzania, Dkt.

Tanzania, Marekani kuendelea kukuza ushirikiano wa uchumi kupitia biashara na uwekezaji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo, akiambatana na Mratibu wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), Tanzania, Dkt.
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

As part of the ongoing State Partnership Program between the 🇺🇸 state of Nebraska's National Guard and Tanzania People’s Defence Forces (TPDF), a joint 🇺🇸- 🇹🇿 delegation joined Governor Governor Jim Pillen at the Nebraska State Capitol to discuss cooperation opportunities in the areas of

As part of the ongoing State Partnership Program between the 🇺🇸 state of Nebraska's National Guard and Tanzania People’s Defence Forces (TPDF), a joint 🇺🇸- 🇹🇿 delegation joined Governor <a href="/TeamPillen/">Governor Jim Pillen</a> at the Nebraska State Capitol to discuss cooperation opportunities in the areas of
Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Mwezi Mei 2025, Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza aliungana na ujumbe kutoka Mkoa wa Dar es Salaam ulioongozwa na Dkt. Toba Nguvila, Katibu Tawala wa Mkoa huo ambao ulifanya ziara jijini Dallas, Texas. Madhumuni ya ziara hiyo iliyokuwa ya mafanikio makubwa yalikuwa ni kujifunza

Mhe. Balozi alishiriki kama mgeni maalum kwenye mkutano uliojadili kuhusu umuhimu wa teknolojia ya akili mnemba barani Afrika ambao uliandaliwa na Kituo cha Biashara cha Marekani na Afrika kilicho chini ya Chemba ya Biashara ya Marekani. Akichangia kwenye mkutano huo, Mhe.

Mhe. Balozi alishiriki kama mgeni maalum kwenye mkutano uliojadili kuhusu umuhimu wa teknolojia ya akili mnemba barani Afrika ambao uliandaliwa na Kituo cha Biashara cha Marekani na Afrika kilicho chini ya Chemba ya Biashara ya Marekani.

Akichangia kwenye mkutano huo, Mhe.
MUHAS International Office (@muhas_alumni) 's Twitter Profile Photo

The Internationalization and Convocation Unit at MUHAS has the pleasure of hosting students from the American University as part of their academic visit to Tanzania. The students are here to gain insights into global health practices through research, exchange knowledge, and

The Internationalization and Convocation Unit at MUHAS has the pleasure of hosting students from the American University as part of their academic visit to Tanzania. 

The students are here to gain insights into global health practices through research, exchange knowledge, and
Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikutana kwa mazungumzo na Bi. Maria A. Velez, Makamu wa Rais wa kampuni ya SBA ya hapa Marekani anayeshughulikia masuala ya uhusiano na Bw. Ravi Suchak, Mkuu wa Mambo ya Nje, Uendelevu na Sera za Umma wa kampuni ya Helios Towers ya

Executive Council on Diplomacy (@on_diplomacy) 's Twitter Profile Photo

The Executive Council on Diplomacy (ECD) is pleased to announce the newest co-chair of the Ambassador Advisory Board (AAB), H.E. Ambassador Dr. Elsie S. Kanza! Tanzania Embassy | USA Elsie S. Kanza

The Executive Council on Diplomacy (ECD) is pleased to announce the newest co-chair of the Ambassador Advisory Board (AAB), H.E. Ambassador Dr. Elsie S. Kanza!

<a href="/UbaloziUSA/">Tanzania Embassy | USA</a> <a href="/eskanza/">Elsie S. Kanza</a>
Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Ubalozi uliratibu na kushiriki kwenye ziara ya Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb.), Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Marekani ambako alimwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe za uzinduzi wa jengo jipya

Abertus Paschal 🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

🔴#JUSTIN 🇹🇿🇺🇸 #Tanzania’s Ambassador to the USA and México, Hon. Dr. Elsie S. Kanza is the new co-chair of the Ambassador Advisory Board (AAB) of the Executive Council on Diplomacy (ECD). Congratulations Amb. Elsie S. Kanza !🎉

🔴#JUSTIN

🇹🇿🇺🇸
#Tanzania’s Ambassador to the USA and México, Hon. Dr. Elsie S. Kanza is the new co-chair of the Ambassador Advisory Board (AAB) of the Executive Council on Diplomacy (ECD).

Congratulations Amb. <a href="/eskanza/">Elsie S. Kanza</a> !🎉
Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza ameshiriki kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 249 ya uhuru wa Marekani iliyoitishwa na Mhe. Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani. Akiwa kwenye sherehe hizo, pamoja na masuala mengine, Mhe. Balozi alipata pia fursa ya kuzungumza na

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam 🇹🇿🇺🇸 ▪️Tanzania Na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano Wa Kisekta Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa

📍Dar es Salaam

🇹🇿🇺🇸

▪️Tanzania Na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano Wa Kisekta

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa
Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alishiriki na kutoa hotuba maalum katika Mkutano wa 119 wa Chama cha Maafisa wa Fedha wa Serikali (Government Finance Officers Association – GFOA) uliofanyika hapa Washington, D.C. Chama hicho kina wanachama zaidi ya 20,000 kutoka nchini Marekani

Katika kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani mwaka huu, Ubalozi ulishirikiana na Diaspora wa Tanzania na washirika wake wengine kufanya matukio mbalimbali yaliyolenga kutangaza Lugha hiyo adhimu na utamaduni wake mzuri. Tulishirikiana na Jumuiya ya Watanzania wanaoishi Majimbo ya

Katika kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani mwaka huu, Ubalozi ulishirikiana na Diaspora wa Tanzania na washirika wake wengine kufanya matukio mbalimbali yaliyolenga kutangaza Lugha hiyo adhimu na utamaduni wake mzuri. Tulishirikiana na Jumuiya ya Watanzania wanaoishi Majimbo ya
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Dallas, Texas ni mojawapo ya vitovu vikuu vya uchumi nchini Marekani. Leo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amempokea Meya wa Dallas, Eric L. Johnson, kwa ziara ya rasmi iliyolenga kuimarisha biashara na kuendeleza uhusiano wa kiuchumi kati ya majiji haya miwili.

Today, the Mayor of Dallas Eric L. Johnson and the 🇺🇸 Chargé d’Affaires Jonathan Howard, met with Foreign Minister Thabit Kombo, Minister Kabudi and representatives from other Tanzania government agencies. Building from a strong foundation, with the right policies, the

Wiki hii, Mameya wa Dallas na Dar es Salaam walitia saini rasmi hati ya makubaliano (MOU) ya kuwa Majiji Dada, yakianzisha ushirikiano wa kindugu kati ya vituo hivi viwili vikubwa vya kiuchumi. Wawakilishi kutoka serikali ya 🇹🇿 walitoa taarifa kuhusu fursa za kuimarisha biashara

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

As part of his ongoing visit to Tanzania, Dallas Mayor Eric L. Johnson visited the "Tooku Factory," a jeans manufacturing facility in Dar es Salaam, where these garments are produced and exported to the United States for business. Mayor Johnson closely observed the production

As part of his ongoing visit to Tanzania, Dallas Mayor Eric L. Johnson visited the "Tooku Factory," a jeans manufacturing facility in Dar es Salaam, where these garments are produced and exported to the United States for business.

Mayor Johnson closely observed the production
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Ngorongoro ▪️KRETA YA NGORONGORO YAMVUTIA MEYA WA JIJI LA DALLAS MAREKANI, AAHIDI KUREJEA NA FAMILIA YAKE Eneo la hifadhi ya Ngorongoro limeendelea kuwa kimbilio la wageni mashuhuri duniani ambapo, Meya wa Jiji la Dallas nchini Marekani, Mhe. Eric Johnson kwa mara ya kwanza

📍Ngorongoro

▪️KRETA YA NGORONGORO YAMVUTIA MEYA WA JIJI LA DALLAS MAREKANI, AAHIDI KUREJEA NA FAMILIA YAKE

Eneo la hifadhi ya Ngorongoro limeendelea kuwa kimbilio la wageni mashuhuri duniani ambapo, Meya wa Jiji la Dallas nchini Marekani, Mhe. Eric Johnson kwa mara ya kwanza
Tanzania Embassy | USA (@ubaloziusa) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Balozi Dkt. Elsie Sia Kanza alikuwa ni miongoni mwa wazungumzaji katika Jukwaa liitwalo Global Black Economic Forum (GBEF) ambalo ni sehemu ya tamasha maarufu la Essence (Essence Festival of Culture) lililofanyika New Orleans, Louisiana mwezi Julai 2025. Akizungumza kwenye