Ofisi ya Waziri Mkuu
@tzwazirimkuu
The official Twitter page of the Prime Minister's Office Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Ofisi ya Waziri Mkuu
ID: 1173638808790851585
http://www.pmo.go.tz 16-09-2019 16:45:03
3,3K Tweet
81,81K Followers
4 Following
Ninaungana na Mhe.Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumpongeza kwa dhati Mhe.Faustine Ndugulile kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) kwa Ukanda wa Afrika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyofanyika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Septemba 01,2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko, baada ya kuahirisha Mkutano wa 16 wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Septemba 6, 2024.