Timothy media hd(@TMediahd) 's Twitter Profileg
Timothy media hd

@TMediahd

This time to sports
-caf champions league
- caf confederation
- nbc premier league
- world football

ID:1502028188800761861

calendar_today10-03-2022 21:07:52

13 Tweets

1 Followers

29 Following

Timothy media hd(@TMediahd) 's Twitter Profile Photo

Wawakilishi wa nchi wapo mzigoni siku ya kesho Young Africans yupo Rwanda kukipiga na @almerreikhsc kwenye dimba la pele kwa upande wa Simba Sports Club yeye yupo levy mwanawasa stadium nchini Zambia kukipiga na mwenyeji wao power dynamo. Hii itakuwa weekend Safi yenye soka Safi.

Wawakilishi wa nchi wapo mzigoni siku ya kesho @yangasc yupo Rwanda kukipiga na @almerreikhsc kwenye dimba la pele kwa upande wa @simbasctanzania yeye yupo levy mwanawasa stadium nchini Zambia kukipiga na mwenyeji wao power dynamo. Hii itakuwa weekend Safi yenye soka Safi.
account_circle
Timothy media hd(@TMediahd) 's Twitter Profile Photo

Kiungo fundi, BRUNO GOMES raia wa Brazil ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kukipiga Singida Fountain gate. Bruno yupo Singida Fountain Gate hadi mwaka 2025
Singida Fountain Gate FC

Kiungo fundi, BRUNO GOMES raia wa Brazil ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kukipiga Singida Fountain gate. Bruno yupo Singida Fountain Gate hadi mwaka 2025 @Singidafgfc
account_circle
Timothy media hd(@TMediahd) 's Twitter Profile Photo

Dah! Game hii itakuwa na bato Kali Sana warabu wawili ndni ya dimba la Mohammed V. Wydad wapo vizuri wakiwa nyumbani Al ahly game ya home wameshinda (2-1) bato ni kubwa Sana kwa timu zote mbili.
TotalEnergiesCAFCL & TotalEnergiesCAFCC 🏆 433 @canalplussportafr Dan Rowden.scrunkly @van_for_sports_ @caf.championsleague

Dah! Game hii itakuwa na bato Kali Sana warabu wawili ndni ya dimba la Mohammed V. Wydad wapo vizuri wakiwa nyumbani Al ahly game ya home wameshinda (2-1) bato ni kubwa Sana kwa timu zote mbili. @cafclcc @433 @canalplussportafr @dr.scrunkly @van_for_sports_ @caf.championsleague
account_circle
Timothy media hd(@TMediahd) 's Twitter Profile Photo

Ranga Chivaviro: striker force
Timu ambazo Zina muhitaji Chivaviro
-yanga SC
- Azam fc
- Kaiser chief
Mi mshambuliaji mwenye nguvu pia ana speed ya kwenda kushambulia kwa wakati ana piga pasi za mwisho.

Ranga Chivaviro: striker force Timu ambazo Zina muhitaji Chivaviro -yanga SC - Azam fc - Kaiser chief Mi mshambuliaji mwenye nguvu pia ana speed ya kwenda kushambulia kwa wakati ana piga pasi za mwisho.
account_circle
Timothy media hd(@TMediahd) 's Twitter Profile Photo

Mechi ya kibabe pale kwa MKAPA ikimkutanisha simba na Orlando pirates je? simba au Orlando tukutane kwa mkapa

Mechi ya kibabe pale kwa MKAPA ikimkutanisha simba na Orlando pirates je? simba au Orlando tukutane kwa mkapa
account_circle