TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profileg
TBCOnline

@TBConlineTZ

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). TBC kiganjani mwako, usipitwe #ukwelinauhakika

ID:2306274450

linkhttp://www.tbc.go.tz calendar_today23-01-2014 09:37:16

21,5K Tweets

116,6K Followers

17 Following

Follow People
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Bunge limeidhinisha kiasi cha shilingi trilioni 1.71 kwa ajili ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya ndyani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Shilingi bilioni 551.58 ni matumizi mengineyo, bilioni 470.42 kwa ajili ya mishahara na bilioni 289.63 ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo

Bunge limeidhinisha kiasi cha shilingi trilioni 1.71 kwa ajili ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya ndyani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Shilingi bilioni 551.58 ni matumizi mengineyo, bilioni 470.42 kwa ajili ya mishahara na bilioni 289.63 ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo
account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasilano (TCRA) linawashikilia watu 27 kwa tuhuma za kuhusika na makosa mbalimbali ya kimtandao yakiwemo ya kujipata pesa kwa njia ya udanganyifu.

Ungana na @mwasyokeanna aweze kukupitisha katika mkusanyiko wa habari mbalimbali za TBC Aridhio kuanzia saa 1:00-3:00 Usiku

Ungana na @mwasyokeanna aweze kukupitisha katika mkusanyiko wa habari mbalimbali za TBC Aridhio kuanzia saa 1:00-3:00 Usiku
account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unatarajiwa kuzinduliwa Julai Mosi, 2024 mkoani Kigoma ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
instagram.com/p/C6_Qf8XPtA-/โ€ฆ

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unatarajiwa kuzinduliwa Julai Mosi, 2024 mkoani Kigoma ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ instagram.com/p/C6_Qf8XPtA-/โ€ฆ
account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) imezindua Kanzidata maalumu kwa ajili ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa za dawa na vifaa tiba kutoka kwa wazalishaji na wazabuni mbalimbali duniani.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
tbc.go.tz/kimataifa/sadcโ€ฆ

Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) imezindua Kanzidata maalumu kwa ajili ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa za dawa na vifaa tiba kutoka kwa wazalishaji na wazabuni mbalimbali duniani. ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ tbc.go.tz/kimataifa/sadcโ€ฆ
account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili 2024 makosa makubwa ya jinai yaliyoripotiwa katika vituo vya Polisi yamepungua kutoka 45,485 hadi 43,146 sawa na asilimia tano ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2022/2023.

account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Mawakili wa bingwa wa Olimpiki mara mbili, Caster Semenya wanasema mteja wao โ€œanajisikia utulivu na kujiaminiโ€ kabla ya kusikilizwa kwa kesi inayohusu kama atatakiwa kupunguza viwango vyake vya homoni za kiume (testosterone)
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
tbc.go.tz/kimataifa/semeโ€ฆ

Mawakili wa bingwa wa Olimpiki mara mbili, Caster Semenya wanasema mteja wao โ€œanajisikia utulivu na kujiaminiโ€ kabla ya kusikilizwa kwa kesi inayohusu kama atatakiwa kupunguza viwango vyake vya homoni za kiume (testosterone) ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ tbc.go.tz/kimataifa/semeโ€ฆ
account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

katika kipindi cha Julai 2023 hadi Aprili 2024, jumla ya matukio ya usalama barabarani 1,463 yaliripotiwa ikilinganishwa na matukio 1,283 yaliyoripotiwa kipindi kama hicho mwaka 2022/2023.

account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema kesi nyingi za unyanyasaji kijinsia zinakosa ushahidi kutokana na ndugu wa familia kukataa kutoa ushahidi.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
tbc.go.tz/kitaifa/gwajimโ€ฆ

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema kesi nyingi za unyanyasaji kijinsia zinakosa ushahidi kutokana na ndugu wa familia kukataa kutoa ushahidi. ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ tbc.go.tz/kitaifa/gwajimโ€ฆ
account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Viongozi wa dini wakiendelea kufuatilia shughuli za Bunge jijini Dodoma leo Mei 15, 2024.

Tupo mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBConline.

๐Ÿ“ธโœ๐Ÿพ @simbeyezekiel

Baadhi ya Viongozi wa dini wakiendelea kufuatilia shughuli za Bunge jijini Dodoma leo Mei 15, 2024. Tupo mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBConline. ๐Ÿ“ธโœ๐Ÿพ @simbeyezekiel #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates
account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Wageni wakiendelea kufuatilia shughuli za Bunge jijini Dodoma leo Mei 15, 2024.

Tupo mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBConline.

๐Ÿ“ธโœ๐Ÿพ @simbeyezekiel

Wageni wakiendelea kufuatilia shughuli za Bunge jijini Dodoma leo Mei 15, 2024. Tupo mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBConline. ๐Ÿ“ธโœ๐Ÿพ @simbeyezekiel #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates
account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Viongozi wa ulinzi na usalama wakiendelea kufuatilia shughuli za Bunge jijini Dodoma leo Mei 15, 2024.

Tupo mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBConline.
๐Ÿ“ธโœ๐Ÿพ @simbeyezekiel

Baadhi ya Viongozi wa ulinzi na usalama wakiendelea kufuatilia shughuli za Bunge jijini Dodoma leo Mei 15, 2024. Tupo mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao ya kijamii kwa anwani ya TBConline. ๐Ÿ“ธโœ๐Ÿพ @simbeyezekiel #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates
account_circle