Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile
Mwemezi Rwiza, PhD

@swahilibible

I teach and do research at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST), TZ. Science author (scholar.google.com/citations?user…)

ID: 65426411

linkhttps://www.nm-aist.ac.tz calendar_today13-08-2009 18:11:56

51,51K Tweet

83,83K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Kipande ya Mwenge hadi junction ya Wazo Hill ... saa moja usiku kuna siku utakaa masaa mawili. Saa moja na robo hadi unatoboa ni saa tatu na nusu ngachooka No wonder wanataka gari zao ziwe na bendera na namba maalum 🤔

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Leo naona hapo Meru mzee Mungure na mzee Kaaya wamegombana. Sasa mzee Mungure ameamua amwage baridi Meru yote na Arusha 🥶🥶😓🌨

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana, Seleman - naona team imeshiba - a representative of the continent indeed. And a great policy analysis as well - Congratulations! You keep going, you keep your head up, son 🧁👊

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Niretee Tito Magootii. Niretee Tiitoo Magotii!!! Niretee Magotii. *in mwendazake's accent* 🤣🤣🤣 ila kama nchi tulipitishwa aisee

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Kuna raha ya kuingia kwenye ndoa mkiwa washamba. Mambo mengine mkajifunzie na kufundishana huko huko nyie marafiki wazuri wawili. Inanogesha mahusiano. Mnacheka na kuongeza siku. 🤣🤣

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa mtumishi wa Mungu, ambaye unawapenda kondoo uliopewa uwachunge; kuwa na ufuasi wa chama cha siasa ni kujinyima kuwa objective. Anyway; huku ni dunia ya tatu: usipokuwa na siasa hupati chakula.

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Fellow fathers, God made you a father because He is your heavenly Father. It's a privilege to be a father. Happy Father's Day, ninjas. 🙏

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

waache wote wakae ndani ya chungu cha kijani ... kila jina maarufu, kila msanii, kila mwenye fikra kanganyifu, ... acha wote wakae chungu kimoja ipo siku kitachemka na hewa itakuwa ndogo ... Tanganyika itazaliwa ... kidogo mwaka huu tutaona wakizipiga majimboni, kidogo, ajali