Suphian Juma Nkuwi
@suphianjuma
●Mgombea Ubunge Singida Magharibi 2020.
● Mkurugenzi Mtendaji @TAA_Tanzania
●MWANZILISHI- SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA
ID: 3363017128
06-07-2015 19:52:43
94,94K Tweet
156,156K Takipçi
32 Takip Edilen
Tupo pamoja Mwanamazingira namba moja Rais Dkt Samia Suluhu
Vijana wa CHADEMA wamekosa malezi ya kifamilia, wahuni wahuni tu. Ukosefu wa adabu na nidhamu wa namna hii huwezi kuukuta kwa vijana wa Chama Cha Mapinduzi
Kilichotokea Tanga ni dhahiri vijana wa CHADEMA wana maadili ya hovyo toka kwa familia zao, hawaheshimu msiba wala Kiongozi. Nimpongeze M/kiti wao Mbowe kwa kuwakemea vikali kuacha kumzomea Waziri Masauni. Chama Cha Mapinduzi ujinga kama huo huupati kwa vijana, waje TUWAFUNDE‼️
Spana & V.A.R Movement Vijana wa chadema wanalazimisha kila mtu awe upande wao na wawe sawa kimaoni na kimtizamo😂😂😂😂 Nimecheka
AHSANTE MSANII TABU MTINGITA‼️ Shirika la TAA tunakushukuru sana Mchekeshaji, Muigizaji na Mwimbaji TABU MTINGITA kwa kuunga mkono kampeni yetu ya kupanda miti ya SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA katika kumsapoti Rais Dkt Samia Suluhu kudhibiti Mabadiliko ya tabianchi.
Najiwazia hapa; kwanini wanaodai wanafuatiliwa au kutekwa ni wafuasi wa CHADEMA tu? Tuna vyama zaidi ya 20 nchini wanaokosoa kama CHADEMA mbona hawaguswi? Nahisi CHADEMA ndio chanzo kikuu cha tatizo. CHADEMA acheni kumchokonoa wetu mpenda utu Haki na Uhuru Dkt Samia Suluhu