SMajessah
@smajessah
A Senior Clinician, formerly with the UN humanitarian projects in Western Tanzania, Voice of the Voiceless; pro CHADEMA, Simba SC and Arsenal.
ID: 512695837
03-03-2012 02:32:01
8,8K Tweet
4,4K Takipรงi
1,1K Takip Edilen
Kitila Mkumbo (PhD) Ananilea Nkya (PhD) Kama management iko chini yao, logistics za mizigo chini yao means literally mandate wanayo wao u asemaje 8% , msijitoe akili kisa siasa, hivi mkiwa Chama Cha Mapinduzi akili mnaziacha wapi?! Juzi ulisema sio mkataba baadae ukasema mkataba wa awali! Kitila Mkumbo (PhD) nipe sababu ya kukuamini
Kitila Mkumbo (PhD) Ananilea Nkya (PhD) Bwana Mkumbo, hiyo 8% ipo kwenye kifungu gani cha mkataba? Waliposema bandari zote za bahari na maziwa makuu Tanganyika walikua wanaamanisha nini?
Kitila Mkumbo (PhD) Ananilea Nkya (PhD) We ni fala professor njaa kwahiyo aliyoyasema SHIVJI yote ya uwongo?kwanza mtasaini vp IGA na DUBAI ?Dubai sio Nchi,Nchi ni UAE we ni Professor mnuka njaa nipo Abu Hail ukuuku Dubai nifuate chizi wewe
Kitila Mkumbo (PhD) Ananilea Nkya (PhD) Kitila Mkumbo (PhD) mnatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha wizi wenu, hamjipangi... Rais anapiga vijembe, Waziri Mkuu anajua upupuqnaozungumza, Waziri wa ujenzi nae anaupupu wake mwisho wa siku HAMUELEWEKI. Kitila Mkumbo (PhD) elewa Maji na Mafuta HAVICHANGANYIKI.
Kitila Mkumbo (PhD) Ananilea Nkya (PhD) Kweli umepiga hesabu lakini za kwako kichwani ule mkataba hauna hesabu mle zote mmezikimbia.Muda wa ukomo,mapato yatokanayo na faida,mgawanyo,watu watakaopata ajira, inteligensia ya marine business nk. Jibuni maswali acheni maneno ya waganga khaaa
Sijasikia ikulu_Tanzania ikitangaza safari ya rais Dubai au Saudi Arabia. Lakini flight tracking data zinaonyesha ndege ya rais iliondoka jana ikitumia call sign TANZ01 ambayo ni rais on board. Ndege ilitoka Dubai leo na iko Saudi Arabia. Nyie Gerson Msigwa zuhura yunus ๐คท๐พโโ๏ธ๐
Jamii Forums Wabunge wafikirie kuongeza umri wa kustaafu kuwa miaka 65. Profesa kwenye chuo kikuu cha umma TZ umri wa kustaafu ni miaka 65. Hivyo, watumishi wabobezi kustaafu miaka 60 kuna athari kubwa na ni upotevu wa HR. Aidha, kuna fani sasa vijana hawataki kusoma kutokana na ugumu wake.
Mhe. Rais Samia Suluhu , kuna MHAINI mmoja tu Tanzania tunayetakiwa kudeal naye. Huyu mhaini kila mwaka anatumia zaidi Bilioni 500 kununulia viongozi V8 wakati huo huo anakosa hela ya kutengeneza hata choo cha shimo kwenye shule za watanzania maskini. Huyu mhaini anawalipa
. Nape Moses Nnauye ukiitwa mahakamani utathibitisha uhaini? Ulipomuita Magufuli mshamba ukizungumza kwenye simu na Kinana, mkasema ni mshamba amechanganyikiwa. JPM akakupelekea moto tulikutetea, ungeweza kupewa uhaini, leo unatetea Slaa, Mdude na Mwabukusi kupewa mashtaka ya uhaini?