Sheria Kiganjani(@SheriaKiganjani) 's Twitter Profileg
Sheria Kiganjani

@SheriaKiganjani

OFFICIAL SHERIA KIGANJANI PAGE

ID:1066798915364839424

linkhttp://www.sheriakiganjani.or.tz calendar_today25-11-2018 21:00:56

937 Tweets

657 Followers

13 Following

Sheria Kiganjani(@SheriaKiganjani) 's Twitter Profile Photo

Tunafurahi kuongeza familia yetu kwenye mitandao wa kijamii kwa kufikia wafuasi 20,000 kwenye mtandao wa Instagram. Ahsanteni kwa kuendelea kutumia huduma zetu na kutufatilia kwenye mitandao yote ya kijamii.
app

Tunafurahi kuongeza familia yetu kwenye mitandao wa kijamii kwa kufikia wafuasi 20,000 kwenye mtandao wa Instagram. Ahsanteni kwa kuendelea kutumia huduma zetu na kutufatilia kwenye mitandao yote ya kijamii. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skcommunity #instagram
account_circle
Sheria Kiganjani(@SheriaKiganjani) 's Twitter Profile Photo

Digital Biashara inawakaribisha wafanyabiashara wote wenye uhitaji wa kurasimisha biashara zao.
Tuma neno BIASHARA kwenda namba 15062, kupata msaada wa papo hapo katika kurasimisha biashara yako.

Digital Biashara inawakaribisha wafanyabiashara wote wenye uhitaji wa kurasimisha biashara zao. Tuma neno BIASHARA kwenda namba 15062, kupata msaada wa papo hapo katika kurasimisha biashara yako. #digitalbiashara #businessformalization #urasimishajiwabiashara #sheriakiganjani
account_circle