Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile
Sheria Kiganjani

@sheriakiganjani

OFFICIAL SHERIA KIGANJANI PAGE

ID: 1066798915364839424

linkhttp://www.sheriakiganjani.or.tz calendar_today25-11-2018 21:00:56

1,1K Tweet

680 Followers

13 Following

Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 66 kutoka SHERIA YA NDOA kinachopinga unyanyasaji wa kimwili kwa mwenza ndani ya ndoa. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #sheriayandoa #unyanyasaji #pingaukatili

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 66 kutoka SHERIA YA NDOA kinachopinga unyanyasaji wa kimwili kwa mwenza ndani ya ndoa.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #sheriayandoa #unyanyasaji #pingaukatili
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu UKATILI WA KIJINSIA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #ukatiliwakijinsia

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Ibara ya 14 ya Katiba ya Tanzania inayosema “Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii yake”. #skijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legalgurus #legaltech #justlers #katiba #haki #sheria #nchi

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Ibara ya 14 ya Katiba ya Tanzania inayosema “Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii yake”.
#skijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legalgurus #legaltech #justlers #katiba #haki #sheria #nchi
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 10, Sura ya 345 kutoka Sheria ya Mikataba kinachoelezea pande mbili za wahusika wa mkataba. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #dhamana #mikataba

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 10, Sura ya 345 kutoka Sheria ya Mikataba kinachoelezea pande mbili za wahusika wa mkataba.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #dhamana #mikataba
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

Hatua za kupakua app yako pendwa ya Sheria Kiganjani kwa watumiaji wa Android kupitia Play Store. Pakua Sheria Kiganjani ili uweze kupata ushauri wa kisheria, nyaraka za kisheria, maswali na majibu na kurasimisha biashara. Karibuni, tuwahudumie! #sheriakiganjani #legaltech

Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

Hatua za kupakua app yako pendwa ya Sheria Kiganjani kwa watumiaji wa iPhone kupitia App Store. Pakua Sheria Kiganjani ili uweze kupata ushauri wa kisheria, nyaraka za kisheria, maswali na majibu na kurasimisha biashara. Karibuni, tuwahudumie! #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp

Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA MIKATABA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #ukatiliwakijinsia

Ni faraja kwetu kupokea jumbe chanya kuhusu huduma zetu. Nia yetu ni kuwafikia na kuwasaidia watanzania wengi zaidi kwa njia ya mtandao. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #sktestimonies #legalgurus #legalgurus #kaributukuhudumie #hudumabora

Ni faraja kwetu kupokea jumbe chanya kuhusu huduma zetu. Nia yetu ni kuwafikia na kuwasaidia watanzania wengi zaidi kwa njia ya mtandao. 
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #sktestimonies  #legalgurus #legalgurus #kaributukuhudumie #hudumabora
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Ibara ya 5(1) ya Katiba ya Tanzania inayomruhusu Mtanzania alietimiza miaka 18 kupiga kura kwa kufuata masharti ya Katiba na ya Sheria. #skijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legalgurus #haki #sheria #nchi

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Ibara ya 5(1) ya Katiba ya Tanzania inayomruhusu Mtanzania alietimiza miaka 18 kupiga kura kwa kufuata masharti ya Katiba na ya Sheria.
#skijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legalgurus #haki #sheria #nchi
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 6(1) kutoka Sheria ya Ardhi kinachosema “Kila mmiliki wa ardhi anapaswa kuitumia ardhi hiyo kwa mujibu wa masharti ya hati miliki”. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #sheriayaardhi #ardhi

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 6(1) kutoka Sheria ya Ardhi kinachosema “Kila mmiliki wa ardhi anapaswa kuitumia ardhi hiyo kwa mujibu wa masharti ya hati miliki”.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #sheriayaardhi #ardhi
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

Zifuatazo ni faida za urasimishaji biashara nchini. #businessformalization #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #digitalbiashara #urasimishajibiashara #msmes #smes

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA ARDHI kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #sheriayaardhi #ardhi

Kindly Subscribe to our YouTube channel using the below link. Tafadhali Jiunge nasi kwenye ukurasa wetu wa YouTube kupitia link ifuatayo. youtube.com/@sheriakiganja… #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #youtube #subscribe #jiungenasi

Kindly Subscribe to our YouTube channel using the below link.

Tafadhali Jiunge nasi kwenye ukurasa wetu wa YouTube kupitia link ifuatayo.

youtube.com/@sheriakiganja…

#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #youtube #subscribe #jiungenasi
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 6 cha kutoka Sheria ya Utunzaji wa Mazingira ya 2004 kinachosisitiza kutunza na kuboresha mazingira. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #mazingira #sheriayautunzajimazingira

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 6 cha kutoka Sheria ya Utunzaji wa Mazingira ya 2004 kinachosisitiza kutunza na kuboresha mazingira.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #mazingira #sheriayautunzajimazingira
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA USIMAMIZI WA MAZINGIRA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #mazingira

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Kifungu cha 8 (1)(a) Katiba ya Tanzania inayoelezea mamlaka ya Wananchi kwenye mamlaka ya utawala. #skijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legalgurus #legaltech #justlers #katiba #haki #sheria #nchi

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Kifungu cha 8 (1)(a) Katiba ya Tanzania inayoelezea mamlaka ya Wananchi kwenye mamlaka ya utawala.
#skijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legalgurus #legaltech #justlers #katiba #haki #sheria #nchi
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 64 cha kutoka Sheria ya Ardhi kinachosisitiza mkataba wa ardhi kuwa wa maandishi na usajiliwe. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #sheriayaardhi #ardhi #landact #mkataba #usajiliwe

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 64 cha kutoka Sheria ya Ardhi kinachosisitiza mkataba wa ardhi kuwa wa maandishi na usajiliwe.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #sheriayaardhi #ardhi #landact #mkataba #usajiliwe
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA ARDHI kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #sheriayaardhi #ardhi

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA ARDHI kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #sheriayaardhi #ardhi
Sheria Kiganjani (@sheriakiganjani) 's Twitter Profile Photo

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Kifungu cha 99 Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania inayotaja makosa ya ushawishi yasiofaa kwenye uchaguzi wa nchi. #skijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legaltech #justlers #katiba #uchaguzi #elections

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Kifungu cha 99 Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania inayotaja makosa ya ushawishi yasiofaa kwenye uchaguzi wa nchi.
#skijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legaltech #justlers #katiba #uchaguzi #elections