SAID HOZZA (@said_hozza) 's Twitter Profile
SAID HOZZA

@said_hozza

Scaling @taifatek | Trained 10K+ students in STEM across Tanzania | Member @TOTTechs | My tweets are Personal insights, not to be quoted.

ID: 1314161997366394883

linkhttp://tatechhub.com calendar_today08-10-2020 11:13:48

6,6K Tweet

1,1K Takipçi

762 Takip Edilen

SAID HOZZA (@said_hozza) 's Twitter Profile Photo

Niwekeeni Link za vijana 10 niwafanyie jambo. Mimi kama Diaspora niishie Nchini Botswana nimeamua kuwaamini vijana na kuanza nao.

SAID HOZZA (@said_hozza) 's Twitter Profile Photo

Naamka hapa naona replies kibao Wasap, kumbe wife usiku kachukua simu yangu halafu kajipost koooote kasoro humu na Linkedin 😭😂

SAID HOZZA (@said_hozza) 's Twitter Profile Photo

Wengi naona wanalalamika bado hamna ahueni ila trust me kama mngekuwa mnaangalia hizo transactions kutoka Bank kwenda kwneye mobile money nahisi mngepongeza😀 Kuna mda mtu unakatwa mpaka 8K kutuma laki

SAID HOZZA (@said_hozza) 's Twitter Profile Photo

Naskia Shabiby nae kashatengeneza ofisi hapa Tanga😀🙌 Aboody anarefusha route kuwa Dar - Tanga - Mombasa. Shabiby anapiga Dom - Tanga - Mombasa. Gari kama Buku zitashuka Bandari ya Tanga. NB: Picha haihusiani na maelezo..!!!

Naskia Shabiby nae kashatengeneza ofisi hapa Tanga😀🙌

Aboody anarefusha  route kuwa Dar - Tanga - Mombasa.

Shabiby anapiga Dom - Tanga - Mombasa.

Gari kama Buku zitashuka Bandari ya Tanga.

NB: Picha haihusiani na maelezo..!!!
SAID HOZZA (@said_hozza) 's Twitter Profile Photo

Huu mwaka unaenda haraka mnoo😀 Nawakumbusha vijana wa NeST hii May/June Taasisi zinamwaga Tender kumalizia malizia mzigo usiingie July 😂😂

SAID HOZZA (@said_hozza) 's Twitter Profile Photo

Nitakuwa nikizungumza Leo hii katika #InnovationWeekTZ kuhusu changamoto na fursa kwa vijana wabunifu tuliopo nje ya miji mikuu tutatoboaje😀 Karibu tujadiliane!

SAID HOZZA (@said_hozza) 's Twitter Profile Photo

So guys, are we all agree that It’s officially confirmed MCHIKICHINI (MchikiDown) imeshakuwa replaced na AI ama ni uvivu tu wa vijana wa skuizi kutafuta elimu??😀

Majengo mengi kule materials zake zilizojengewa ziko nearly impermeable kwa electromagnetic waves (Signals za simu) ndio maana majengo mengi ambayo hayana mtandao mostly ni ya underground.

SAID HOZZA (@said_hozza) 's Twitter Profile Photo

Closing out May with an amazing Arduino Workshop at St. Joseph University in Tanzania powered by TME Education . Tukiwapa wanafunzi ujuzi wa Teknolojia kwa vitendo.

Closing out May with an amazing Arduino Workshop at St. Joseph University in Tanzania powered by <a href="/TMEeducation/">TME Education</a> .

Tukiwapa wanafunzi ujuzi wa Teknolojia kwa vitendo.
ElectronicsNotes by Ian Poole (@elecnotes) 's Twitter Profile Photo

IXBH20N360HV 3600V 20A IGBT - did I read that correctly: 3600V? The IXBH20N360HV IGBT from IXYS is an incredibly high voltage IGBT, with a top voltage of 3600V. When I saw this I was amazed. The devices is housed in a TO247 package with an offset centre pin, and the collector

IXBH20N360HV 3600V 20A IGBT - did I read that correctly: 3600V?

The IXBH20N360HV IGBT from IXYS is an incredibly high voltage IGBT, with a top voltage of 3600V. When I saw this I was amazed.

The devices is housed in a TO247 package with an offset centre pin, and the collector