simo_northern47 (@slello47) 's Twitter Profile
simo_northern47

@slello47

Do or don't there's no try.🍀

ID: 1450356382163783682

calendar_today19-10-2021 07:01:46

82,82K Tweet

2,2K Takipçi

1,1K Takip Edilen

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Sema mapambio yanayopigwa awamu hii yanapigwa kishamba sana. Hata wewe unaesifiwa mwisho inabidi ujishtukie sasa 😅🙌🏾.

Big_Nicky✊️ (@big_nicky01) 's Twitter Profile Photo

Sugarbabe yeye sidhani kama hata gwajima anamjua , utakaji nao sijui kama anafahamu upo nchini yeye kapost Matiti yake malaya amefocus na biashara ya kuuza KUMA YAKE hana neno na mtu 😁🔥

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Taarifa za awali kwa mujibu wa vyanzo zinaripoti kuwa Ndugu George Mayawa, Mjumbe wa Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi maarufu kama Kamati ya Masaa 72 ameandika barua ya kujiuzulu na kukaa pembeni kwasababu ambazo bado hazijawekwa wazi.

CERTIFIED HATER PhD ✨ (@noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

Watu wanaoenda gym especially wanawake ukimsifia kidogo kwamba mwili unapungua na progress ipo wanafurahi kinoma. Deep down unajua kabisa hana progress yoyote wasee wanapenda kudanganywa kinoma.😀

CERTIFIED HATER PhD ✨ (@noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

Habari za muda huu watanzania wenzangu pichani hapo ni mtoto mdogo kwa majina anaitwa MAUREEN THOBIAS PONERA amepotea na leo ni siku ya nne hajaonekana huko TUNDUMA anasoma darasa la tano kwa yoyote atakaemuona atoe taarifa kwenye kiyuo cha police au kupiga namba 0689932498

ain't no joke :^) (@jec0nia) 's Twitter Profile Photo

idk wengine huwa wanawazaje, ila mi kitu huwezi nitishia ni ukimya. unanikalia kimya? huh! hapa ndio mahali pake. i be just outta here, distracted with my own thoughts nikitafakari haya maisha kule yananipeleka.

Dick Zola ✌🏾 (@mbeyud24) 's Twitter Profile Photo

Kazi kuhangaika na specimens Lab kumbe yeye ni Chino used from Dubai kijana achia madaftari hayo humuoni Idol wako Chino anavyopiga pesa 😀