Loisujaki Mooshe (@realluismo) 's Twitter Profile
Loisujaki Mooshe

@realluismo

Maasai warrior ;//Artivist.
Maa Traders Arusha;beads,bracelets,necklaces. call 0622868500

ID: 334589667

linkhttps://soundcloud.com/luisjack-mosses-jakimongo/luimo-arusha-native-pro-by-medick-music calendar_today13-07-2011 10:30:16

51,51K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Ustaarabu ni ukienda sehemu ukakuta watu wameketi wewe ndio inabidi uwasalimie. Usijitie kiburi na kuvimba kutaka ulowakuta wamekaa ndio wakusalimie.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Mapambano ya kutafuta mafanikio ya ziada [utajiri, madaraka na umaarufu] yasikupoteze ukasahau mafanikio muhimu zaidi katika maisha: amani na utulivu wa moyo wako; mahusiano mema na watu; maelewano na familia; kuaminika na shukrani za watu unaogusa maisha yao! #ElimikaWikiendi

Odo (@najjatomar) 's Twitter Profile Photo

INTERVIEW SKILLS (KIPINDI CHA UCHAGUZI). Kwetu Wanahabari kipindi hiki cha Uchaguzi ni vyema kuzingatia haya Kwenye Interview (Mahojiano). Haya ni machache ya Kuzingatia (Niyajuayo) 1- Kuwa na Vifaa( Camera,Recorder,Pen, Notebook nk) na viwe sawa kwa ajili ya kazi.

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

โ€œJoseph Kusaga alitaka uhuru zaidi wa redio inayopiga kila aina ya muziki, aliniita nifundishe watu wake. Tulifundisha watangazaji wa Clouds muda mrefu kabla Redio haijaanza, kama mwaka mzimaโ€ - Taji George Liundi #Miaka20YaBongoflava

Ummu Haydar (@ummu__haydar) 's Twitter Profile Photo

#Nipedili #WapwaTuinuane Guys ๐Ÿ˜Twitter For Iphone Gang mko wapi? IPhone 7 Plus 32GB Battery capacity 75% Price 600,000TSH Tunafanya Delivery

#Nipedili 
#WapwaTuinuane 

Guys ๐Ÿ˜Twitter For Iphone Gang mko wapi?
IPhone 7 Plus
32GB
Battery capacity 75%
Price 600,000TSH
Tunafanya Delivery
Arsenal 5-1 Man City (@adamshulekongwe) 's Twitter Profile Photo

Oii. Flana Za "Shule Kongwe" Bado Zinapatikana. 25k Only. Get Yours, Support A Brother. Shouts To Javan โœŠ๐ŸฟโœŠ๐Ÿฟ.. #tshirt #merch #shulekongwe #hiphop

Oii. Flana Za "Shule Kongwe" Bado Zinapatikana. 25k Only. Get Yours, Support A Brother. Shouts To Javan โœŠ๐ŸฟโœŠ๐Ÿฟ..
#tshirt
#merch
#shulekongwe
#hiphop
Grace Matata (@gracematata) 's Twitter Profile Photo

โ€œPut that body on me, Sisikii sioni, Homa hii siponi, When you put that body on meโ€ Body on Me ft @johmakinitz out kwenye music stores link ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐ŸŒผ youtube.com/playlist?list=โ€ฆ #bodyonme #RebirthEP #gracematata #newmusic

โ€œPut that body on me,
Sisikii sioni,
Homa hii siponi,
When you put that body on meโ€
Body on Me ft @johmakinitz out kwenye music stores link ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐ŸŒผ

youtube.com/playlist?list=โ€ฆ

#bodyonme #RebirthEP #gracematata  #newmusic
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

The Fight for Democracy and Public Health in Tanzania, Zambia, and Zimbabwe on Friday, July 17th at 9 am EDT (3 pm CAT/ 4 pm EAT). This online event will be moderated by Salem Solomon, a multimedia reporter for VOA's Africa Division >>2:30 pm Zambia/Zim 3:30 pm Tanzania

The Fight for Democracy and Public Health in Tanzania, Zambia, and Zimbabwe on Friday, July 17th  at 9 am EDT (3 pm CAT/ 4 pm EAT). This online event will be moderated by Salem Solomon, a multimedia reporter for VOA's Africa Division >>2:30 pm Zambia/Zim
3:30 pm Tanzania
#SalamaNa (@yahstonetown) 's Twitter Profile Photo

Endelea kufurahia episode ya #SalamaNaJide kwenye podcasts kupitia link katika bio yetu na usisahau kuidaka tena ๐“™๐“พ๐“ถ๐“ช๐“น๐“ฒ๐“ต๐“ฒ ya kesho saa nane na nusu mchana ndani ya EastAfricaTV @yahstonetown @samaki_samaki @slidevisuals #YahStoneTown #POWERHOUSE #SalamaNa

Endelea kufurahia episode ya #SalamaNaJide kwenye podcasts kupitia link katika bio yetu na usisahau kuidaka tena ๐“™๐“พ๐“ถ๐“ช๐“น๐“ฒ๐“ต๐“ฒ ya kesho saa nane na nusu mchana ndani ya <a href="/eastafricatv/">EastAfricaTV</a> 

@yahstonetown @samaki_samaki @slidevisuals
#YahStoneTown #POWERHOUSE #SalamaNa
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Mwaka huu nimefurahi sana kuona vijana wengi wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali. Najitolea kama mtaalam wa mawasiliano kutoa mafunzo na mentorship bure ya MAWASILIANO (communication) kwa wagombea vijana wachache watakaoweza kunishawishi kwa nini niwachague Maelezo zaidi ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

Mwaka huu nimefurahi sana kuona vijana wengi wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali.
Najitolea kama mtaalam wa mawasiliano kutoa mafunzo na mentorship bure ya MAWASILIANO (communication) kwa wagombea vijana wachache watakaoweza kunishawishi kwa nini niwachague
Maelezo zaidi ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘‰๐ŸฝNiandikie kwa kifupi (isizidi maneno 300 au aya 2) unataka kuleta mabadiliko gani ktk jamii. Uwe mbunifu! ๐Ÿ‘‰๐ŸฝKama ninaku follow nitumie DM ๐Ÿ‘‰๐ŸฝKama sijaku-follow andika jina lako, chama unachowakilisha na jimbo - nitahakiki Mwisho kupokea maombi-July 17 Kijana = miaka 18 - 35 TU