Reach Out Tanzania (@reachout_tz) 's Twitter Profile
Reach Out Tanzania

@reachout_tz

Youth -Led Organization promoting Civil and political Rights in Tanzania.

ID: 1067720688855863297

linkhttps://www.reachouttanzania.org/ calendar_today28-11-2018 10:03:44

3,3K Tweet

1,1K Takipçi

142 Takip Edilen

Lisa Ildephonce (@lildephonce) 's Twitter Profile Photo

❝ Katika nchi yeyote ambayo kunaonyesha kwamba demokrasia imesimama ni lazima, wananchi wawe mstari wa mbele, kudai haki zao❞ - Dkt Ananilea Nkya #KeepItOn #Usizime youtu.be/nhUZhotW5i0?si…

NTELE (@wisemanntele) 's Twitter Profile Photo

❝ Katika nchi yeyote ambayo kunaonyesha kwamba demokrasia imesimama ni lazima, wananchi wawe mstari wa mbele, kudai haki zao❞ - Dkt Ananilea Nkya #KeepItOn #Usizime

Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

❝ Katika nchi yeyote ambayo kunaonyesha kwamba demokrasia imesimama ni lazima, wananchi wawe mstari wa mbele, kudai haki zao❞ - Dkt Ananilea Nkya (PhD) #KeepItOn #Usizime Reach Out Tanzania youtu.be/nhUZhotW5i0?si…

Reach Out Tanzania (@reachout_tz) 's Twitter Profile Photo

“No person shall be denied the right to education." Kuzima Mtandao Kunanyang'anya haki ya wanafunzi ya kupata elimu. #Usizime #KeepItOn

“No person shall be denied the right to education."

Kuzima Mtandao Kunanyang'anya haki ya wanafunzi ya kupata elimu. #Usizime #KeepItOn
NTELE (@wisemanntele) 's Twitter Profile Photo

Kuzimwa kwa mtandao kuna madhara makubwa katika sekta ya elimu. Wanafunzi watakosa upatikanaji wa rasilimali mtandaoni, ambazo zinaweza kuwa vyanzo muhimu vya elimu na mafunzo katika zama hizi za kidigitali. #KeepItOn #Usizime

Kuzimwa kwa mtandao kuna madhara makubwa katika sekta ya elimu. Wanafunzi watakosa upatikanaji wa rasilimali mtandaoni, ambazo zinaweza kuwa vyanzo muhimu vya elimu na mafunzo katika zama hizi za kidigitali. #KeepItOn #Usizime
Lisa Ildephonce (@lildephonce) 's Twitter Profile Photo

No person shall be denied the right to education." Kuzima Mtandao Kunanyang'anya haki ya wanafunzi ya kupata elimu. #Usizime #KeepItOn

No person shall be denied the right to education."

Kuzima Mtandao Kunanyang'anya haki ya wanafunzi ya kupata elimu. #Usizime #KeepItOn
Ntele Bh (@ntele_bh) 's Twitter Profile Photo

“No person shall be denied the right to education." Kuzima Mtandao Kunanyang'anya haki ya wanafunzi ya kupata elimu. #Usizime #KeepItOn

“No person shall be denied the right to education."

Kuzima Mtandao Kunanyang'anya haki ya wanafunzi ya kupata elimu. #Usizime #KeepItOn
Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile Photo

“No person shall be denied the right to education." Kuzima Mtandao Kunanyang'anya haki ya wanafunzi ya kupata elimu. #Usizime #KeepItOn

“No person shall be denied the right to education."

Kuzima Mtandao Kunanyang'anya haki ya wanafunzi ya kupata elimu. #Usizime #KeepItOn
Ntele Bh (@ntele_bh) 's Twitter Profile Photo

❝ Taarifa Wakati Wa uchaguzi Ni mhimu Sana Kwa sababu Kuna mambo YA elimu YA mpiga kura,wananchi wanataka kujua kabla Kituo cha kupigia Kura kinapatikana wapi❞ - khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 #KeepItOn #Usizime youtu.be/nhUZhotW5i0?si…

Reach Out Tanzania (@reachout_tz) 's Twitter Profile Photo

❝ Taarifa Wakati Wa uchaguzi Ni mhimu Sana Kwa sababu Kuna mambo YA elimu YA mpiga kura,wananchi wanataka kujua kabla Kituo cha kupigia Kura kinapatikana wapi❞ - khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 #KeepItOn #Usizime youtu.be/nhUZhotW5i0?si…

Lisa Ildephonce (@lildephonce) 's Twitter Profile Photo

❝ Taarifa Wakati Wa uchaguzi Ni mhimu Sana Kwa sababu Kuna mambo YA elimu YA mpiga kura,wananchi wanataka kujua kabla Kituo cha kupigia Kura kinapatikana wapi❞ - khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 #KeepItOn #Usizime youtu.be/nhUZhotW5i0?si…

Reach Out Tanzania (@reachout_tz) 's Twitter Profile Photo

Kuzimwa Kwa Mtandao pamoja na kwamba huvunja haki mhimu za raia hususani haki ya kuwasiliana na Uhuru wa Kujieleza, pia huathiri shughuli za kibiashara. #Usizime #KeepItOn

Kuzimwa Kwa Mtandao pamoja na kwamba  huvunja haki mhimu za raia hususani haki ya kuwasiliana na Uhuru wa Kujieleza,  pia huathiri shughuli za kibiashara.
#Usizime #KeepItOn
Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

Kuzimwa kwa mtandao kunaweza kuwa na madhara makubwa kwa shughuli za kiuchumi. Biashara, hasa zile zinazotegemea mtandao, zinaweza kupata hasara kubwa, na hii inaweza kuathiri ukuaji wa uchumi wa nchi. #KeepItOn #Usizime

Kuzimwa kwa mtandao kunaweza kuwa na madhara makubwa kwa shughuli za kiuchumi. Biashara, hasa zile zinazotegemea mtandao, zinaweza kupata hasara kubwa, na hii inaweza kuathiri ukuaji wa uchumi wa nchi. #KeepItOn #Usizime
Reach Out Tanzania (@reachout_tz) 's Twitter Profile Photo

❝Kwa vyovyote vile katika dunia ya Leo wengine wanasema kwamba, Haki ya kuingia kwenye mtandao inapaswa kuingia katika haki za binadamu.❞- Richard Mabala #KeepItOn #Usizime youtu.be/nhUZhotW5i0?si…

Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

According to OONI , 𝕏 (formerly Twitter) is likely blocked by means of HTTP Blocking in #Tanzania Kila uchaguzi ukikaribia mamlaka nchini Tanzania zimekuwa zikifanya censorship #KeepItOn #Usizime

According to <a href="/OpenObservatory/">OONI</a> , 𝕏 (formerly Twitter) is likely blocked by means of HTTP Blocking  in #Tanzania

Kila  uchaguzi ukikaribia mamlaka nchini Tanzania zimekuwa zikifanya censorship 
#KeepItOn #Usizime
Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

"Kuna uwezekano mkubwa Kwa serikali YA Tanzania kurudia kufanya ilicho kifanya 2020 ( kuzima mtandao).Na hii ni kutokana Na wananchi kutoonyesha kukerwa vya kutosha Na uzimwaji Wa mtandao 2020" khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 hatimaye ulichosema miezi karibia 3 iliyopita KIMETIMIA #KeepItOn

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Serikali kuzuia access ya Twitter 🇹🇿 wakati ambao tuna kesi inaendelea mahakamani kuhusu kuzimwa mtandao 2020 is a proper contempt of court. Well, tuongezeeni ushahidi. We’ll argue our case religiously.

EU in Tanzania (@euintz) 's Twitter Profile Photo

Joint Statement by European Union Heads of Mission, the British High Commission, the Canadian High Commission, and the Embassies of Norway and Switzerland on Recent Events in Tanzania

Irish Embassy Dar (@irlembtanzania) 's Twitter Profile Photo

Joint Statement by European Union Heads of Mission, the British High Commission, the Canadian High Commission, and the Embassies of Norway and Switzerland on recent events in Tanzania.