Rc_Mkoa_ Arusha
@rc_arusha
Government official page
all LGA's in Arusha Region well managed for sustainable development aimed at poverty reduction and promotion of economic growth.
ID: 1726838320825532416
http://www.arusha.go.tz 21-11-2023 05:42:57
1,1K Tweet
86 Followers
4 Following
Viongozi na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Jukwaa la 24 na Mkutano wa 35 wa Kamati ya Kudumu ya Fedha ya Mkataba wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Afrika (UNFCCC), unaofanyika kwenye Kituo cha Kitamataifa cha Mikutano - AICC ukumbi wa Simba Septemba 2, 2024. Samia Suluhu Dr. Philip Isdor Mpango
Vikundi vya burudani wakitoa burudani kwenye Jukwaa la 24 na Mkutano wa 35 wa Kamati ya Kudumu ya Fedha ya Mkataba wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Afrika (UNFCCC), unaofanyika kwenye Kituo cha Kitamataifa cha Mikutano - AICC ukumbi wa Simba Septemba 2, 2024. Samia Suluhu Dr. Philip Isdor Mpango
Waziri wa Fedha Mhe.Dkt.Mwigulu Mchemba akizungumza kwenye Mkutano wa 35 wa Kamati ya Kudumu ya Fedha ya Mkataba wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Afrika (UNFCCC) kuimba wimbo wa Taifa unaofanyika kwenye Kituo cha Kitamataifa cha Mikutano - AICC, Septemba 2, 2024. Mwigulu Nchemba
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ikulu_Tanzania Samia Suluhu Tazara Dr. Philip Isdor Mpango OFISI YA RAIS TAMISEMI