Sankara's Quote(@QuoteSankara) 's Twitter Profileg
Sankara's Quote

@QuoteSankara

Economist, business analyzer, CEO@RESWORKS SOLUTION, activist musiccomposer ,founder@AKA RECORDS

#wandewa

ID:1016030827313025025

calendar_today08-07-2018 18:46:40

7,9K Tweets

1,6K Followers

4,1K Following

Sankara's Quote(@QuoteSankara) 's Twitter Profile Photo

Uyu jamaa anayoendesha ni pikipik
Kweli au ni fiction tu hii

Oyaa kuna watu wana vipaji duniani asee

Mwana pikipiki anaifanya kama mpira ivi

account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Kila mtu humu Ana hela mpaka ikitokea Msamaria mwema ndio wote tunageuka makabwela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nilale siku ilikuwa ndefu nawatakia usiku mwema

account_circle
Sankara's Quote(@QuoteSankara) 's Twitter Profile Photo

Uyu jamaa anayoendesha ni pikipik
Kweli au ni fiction tu hii

Oyaa kuna watu wana vipaji duniani asee

Mwana pikipiki anaifanya kama mpira ivi

account_circle
𝐌𝐚𝐱𝐦𝐒π₯π’πšπ§β˜…πŸ’™(@_Maxmilianjohn) 's Twitter Profile Photo

Tuwe wakweli.

Ulimwengu wa mahusiano wakati mwingine ni kama uwanja wa vita.

Na hujui jinsi ya kushinda vita hivyo.

Hakuna mtu aliyewahi kukusaidia kupigana.

Lakini leo mimi itabidi mnisaidie wakuu mpaka ni mpate Neypaul πŸ’™

Mnipe backup

Tuwe wakweli. Ulimwengu wa mahusiano wakati mwingine ni kama uwanja wa vita. Na hujui jinsi ya kushinda vita hivyo. Hakuna mtu aliyewahi kukusaidia kupigana. Lakini leo mimi itabidi mnisaidie wakuu mpaka ni mpate Neypaul πŸ’™ Mnipe backup
account_circle
Sankara's Quote(@QuoteSankara) 's Twitter Profile Photo

Duuuh

Jamaa nusura apoteze kichwa
Kwa sababu ya michezo

Hatari embu angalia jinsi gari imemkosa kosa uyu jamaa

account_circle
Master_planπŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@Master_plan88) 's Twitter Profile Photo

Toka Jana naangaika na gari Shemeji yenu Anatuma Massage Anasema 'Hupokei Simu Endelea Na Wanawake zako Wa Njombe Utakufa na Ukimwi'....

Nashindwa hata Nimjibu nini.πŸ€”

Toka Jana naangaika na gari Shemeji yenu Anatuma Massage Anasema 'Hupokei Simu Endelea Na Wanawake zako Wa Njombe Utakufa na Ukimwi'.... Nashindwa hata Nimjibu nini.πŸ€”
account_circle
Sankara's Quote(@QuoteSankara) 's Twitter Profile Photo

Uwapo kwenye uzima jiulize ni nini unachojali!!

Ukishiba shukuru
Kuna watu wanakula chakula ambacho wee huwezi kula
Kuna watu wanavaa mavazi ambayo we huwezi vaa

Uwapo kwenye uzima jiulize ni nini unachojali!! Ukishiba shukuru Kuna watu wanakula chakula ambacho wee huwezi kula Kuna watu wanavaa mavazi ambayo we huwezi vaa
account_circle