Prosper Masau (@prospermasau) 's Twitter Profile
Prosper Masau

@prospermasau

ID: 533267329

calendar_today22-03-2012 16:14:45

272,272K Tweet

26,26K Takipçi

679 Takip Edilen

Moshi Jnr (@moshijnr) 's Twitter Profile Photo

Dube na Okello hawakuwa Offiside.. ile ni Clear Onside kabisa.. Mwamuzi LINE 1 ameihujumu Yanga katika Moments hizo mbili dhidi ya JKT.. Poor Decisions kwa LINE 1

Moshi Jnr (@moshijnr) 's Twitter Profile Photo

Kwa kitendo cha Seleman Mwalimu kumpiga na Kiwiko cha Mkono Andy Bikoko alistahili Kadi Nyekundu.. Nafikiri sasa ni Jukumu la Kamati ya Masaa 72 kutoa Adhabu Kali kwa Seleman Mwalimu.. kwa Kitendo ambacho hakikubaliki kwenye Mpira wa miguu

Kwa kitendo cha Seleman Mwalimu kumpiga na Kiwiko cha Mkono Andy Bikoko alistahili Kadi Nyekundu.. Nafikiri sasa ni Jukumu la Kamati ya Masaa 72 kutoa Adhabu Kali kwa Seleman Mwalimu.. kwa Kitendo ambacho hakikubaliki kwenye Mpira wa miguu
Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

“Tumepata taarifa za kiintelijinsia kuwa Dodoma Jiji wamepanga kuvunja wachezaji wetu ili wasicheze Dabi” Haya tunasubiri uchambuzi wenu kuhusu hili tukio la Dodoma Jiji kumpiga kiwiko mchezaji wenu ili asicheze Dabi.

Prosper Masau (@prospermasau) 's Twitter Profile Photo

Nimegundua Serikali ya malawi 😀😀😀🙌imewaita maafisa usafirishaji ili watulie wakae kitalaam wajione wako kwenye system 😀😀😀😀😀😀😀ndo maana wanafujo sana huko mabarabarani.

Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

🚨_Nenda kachezeshe bila kujali Nani anataka nini na Nani anasemaje. We kasimame kwenye ukweli, mwanzo mzuri huandikwa pale unapoaminiwa kwa Mara ya kwanza fanya vyema. Ni wakati wako sasa kusimama na kuitangaza nafasi yako Duniani. Hatuwezi jua nini kitatokea Ila mtangulize

🚨_Nenda kachezeshe bila kujali Nani anataka nini na Nani anasemaje.

We kasimame kwenye ukweli, mwanzo mzuri huandikwa pale unapoaminiwa kwa Mara ya kwanza fanya vyema.

Ni wakati wako sasa kusimama na kuitangaza nafasi yako Duniani.

Hatuwezi jua nini kitatokea Ila mtangulize
Ambassador Hoyce Temu, PhD (@hoycetemu) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Ndugu Martin Chungong, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Ndugu Martin Chungong, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu (Mb) na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chungong wamesaini mkataba wa Bunge la Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa IPU utakaofanyika Oktoba 2026, jijini Arusha. Aidha, Spika Zungu amemshukuru Rais Samia Suluhu

Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu (Mb) na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chungong wamesaini mkataba wa Bunge la Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa IPU utakaofanyika Oktoba 2026, jijini Arusha.

Aidha, Spika Zungu amemshukuru Rais Samia Suluhu
M a n o t i (@madeinmusoma) 's Twitter Profile Photo

Hapo kanisa la Saint Joseph, muda wa mahubiri, Padre Kitima kaonekana na karatasi nyingi sana, watu wameshituka wakajua tayari 😁😁

Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Askofu Wolfgang Pisa amesema kuwa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliishi maisha ya kujitoa kwa kanisa na kutojilimbikizia mali, akisisitiza kwamba hakuwahi kumiliki mali binafsi