FOR SURE! (@ponge_bromine) 's Twitter Profile
FOR SURE!

@ponge_bromine

BETTING | SPORTYBET | FREE TIPS DAILY 🌏

ISAYA 43: 4

ID: 1648771644972847107

calendar_today19-04-2023 19:33:13

15,15K Tweet

5,5K Followers

2,2K Following

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuniuliza, mtumishi wa Mungu unaonaje nikagombee, nikamwambia mke wake, kamwambie asigombee atapoteza hela tu. Nikamwambia kazi yake ipo, atapata muda ukifika atateuliwa na mamlaka kuu. Akalazimisha kwenda kugombea kilichompata ni kitu kigumu.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Kwenye unabii kuna changamoto ifuatayo, mtu anakuuliza nifanye nini, unamwambia Roho Mtakatifu kasema fanya moja mbili, halafu anashangaa, unamuona anatafutisha kitu kama ishara ili aweze kuamini kama ni Mungu kweli, huwa najiuliza anataka moshi utokee ndo aamini??

Dunia🌍 (@duniaslavedunia) 's Twitter Profile Photo

Mpaka sasa Mkoa Wa Kagera upo mikononi mwa UGANDA Samia na M7 Washamaliza ndo maana mnaona Watu wa Kagera hawakutia maandamano yeyote 😩

Dunia🌍 (@duniaslavedunia) 's Twitter Profile Photo

Nimesikia Ridhiwani analalamika kua Shell zake 38 zilichomwa moto ni kwamba DC09 Tunachoma zote na Ile GOLD CREST tunajua ni yako Ridhiwani anabadili majina ya Shell zake za Mafuta nchi nzima pia tuna jua kua Kikwete anamiliki KILIMANJARO HOTEL iliopo KAMPALA Uganda Namilembe🧐

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

TAARIIFA YA HIVI PUNDE Mhe. M/kiti wa Kanda ya kaskazini Mhe. Samwel Welwel amekamatwa na jeshi la polisi mda huu katika eneo la Kibaoni akiwa anaelekea Karatu. Amepelekwa katika kituo cha polisi Karatu. Tunaendelea kufuatilia na tutawajulisha kinachoendelea. Ndonde Totinan