Planning Commission_Tanzania
@planning_tz
Ukurasa Rasmi wa Tume ya Mipango
ID: 1751524475386888192
28-01-2024 08:36:07
53 Tweet
136 Followers
31 Following
Menejimenti ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na Taasisi zake pamoja na Timu kuu ya uandishi wa Dira ya Taifa zimekutana na Waziri Kitila Mkumbo (PhD) kwa mapitio na kupokea maoni ya kuboresha rasimu ya kwanza ya Dira ya Taifa 2050. Leo Septemba 19, 2024 katika Ofisi za Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Baraza La Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid amekutana na Timu kuu ya Uandishi wa Dira iliyoongozwa na Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Dkt. Mursali Milanzi kwenye zoezi la ukusanyaji maoni kutoka kwa viongozi wa kitaifa kuelekea kufanikisha uandaaji wa Dira ya Taifa 2050.
Tume ya Taifa ya Mipango, Inawatakia wote Maadhimisho mema ya Sikukuu ya Idi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Tanzania Ya Samia Samia Suluhu Msemaji Mkuu wa Serikali Chama Cha Mapinduzi Dira Ya Samia UVCCM TZ Vijana Think Tank(VTT)
Serikali yaweka matarajio makubwa kwa Tume ya Taifa ya Mipango kusimamia maendeleo ya kiuchumi kulingana na mahitaji ya wananchi na jiografia ya nchi. Spika Dkt. Tulia amesema hayo baada ya kukutana na Dkt. Fred Msemwa leo Aprili 16, 2025 Bungeni, Dodoma. Dr. Tulia Ackson fred msemwa
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba na ujumbe kutoka Tanzania wamekutana na Benki ya Dunia leo Aprili 22, 2025 Washington DC kujadili ufadhili wa miradi ya maendeleo. Ameambatana na Stanslaus Nyongo, Dkt. Fred Msemwa (Tume ya Mipango), Bw. Tutuba (BoT), Dkt. Mwamba (Hazina).
“Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameanzidha Tume ya Taifa ya Mipango ili kuimarisha Uchumi na Mipango ya Maendeleo” Kitila Mkumbo (PhD)