Hakimu_Wa_Ghetto⚖️(@OmarChai001) 's Twitter Profileg
Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

@OmarChai001

Human Rights Activist , Mentor ,T.O.T,GBV champion & award winning 2022, Youth Champion , Director @kcyg001 .

ID:808630177521631232

calendar_today13-12-2016 11:10:32

1,1K Tweets

1,1K Followers

511 Following

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️(@OmarChai001) 's Twitter Profile Photo

'Siku hizi watu wanajenga urafiki kwa kusimuliana siri za watu wengine. Kuwa makini sana na mtu unayemuelezea mambo yako.'
⚖️

account_circle
Hakimu_Wa_Ghetto⚖️(@OmarChai001) 's Twitter Profile Photo

'Kuwa makini sana pindi unapolazimishwa uwe na uadui na mtu ambaye hajakukosea kitu. Wema unamuendelezo ila ubaya una mwisho wake.'
⚖️

account_circle
Hakimu_Wa_Ghetto⚖️(@OmarChai001) 's Twitter Profile Photo

'Katika hatua za maisha yako kuna watu utawaacha na kuna watu utawakuta, usiwadharau uliowaacha na usiwaabudu utakaowakuta.'
⚖️

account_circle
Hakimu_Wa_Ghetto⚖️(@OmarChai001) 's Twitter Profile Photo

'Sio kila aliye karibu na wewe anakupenda. Kuna baadhi ya watu hawawezi kukulenga ukiwa mbali nao ni lazima wasogee karibu yako kwanza.'
⚖️

account_circle