Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile
Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

@omarchai001

Human Rights Activist , Mentor ,T.O.T,GBV champion & award winning 2022, Youth Champion , Director @kcyg001 .

ID: 808630177521631232

calendar_today13-12-2016 11:10:32

1,1K Tweet

1,1K Followers

516 Following

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile Photo

"Umeona jinsi unavyo iangalia simu yako ikiwa haina bando (bundles) ndio hivyo hivyo watu wanavyo kuangalia wakati huna kitu. PAMBANA." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile Photo

"Usiwahukumu watu kulingana na shida zako, kila mtu Mungu amempangia wakumsaidia. Ukiona hujapata wakukusaidia jua huo nao ni mpango wa Mungu pia." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile Photo

"Kuna wale ambao kila siku wanaulizia habari zako wakisubiria anguko lako, naomba Mungu asiwape wanacho kitarajia." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile Photo

"Tukikosa sisi wakipata wao wanatuita wavivu. Tukipata sisi wakikosa wao wanasema ni mipango ya Mungu. Binadamu bwana." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile Photo

"Wakati wanakudharau, wakumbushe pia wajifunze na kukusahau, kwa sababu wanaweza kukumbuka ukiwa tayari umewasahau na umechoshwa na dharau zao." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

"Hawana macho ya kuona mateso unayopitia unapokua kwenye harakati za kujitafuta ila wanamoyo wa kuumia pale wanapoona umeanza kujipata hata kama ni kwa udogo tu inakua mwanzo wa chuki na husda hii ni kumaanisha kuwa mateso yako yanawapa furaha KAZA MWANANGU." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile Photo

"Zeeka mwili usizeeke nafsi. Nafsi huzeeshwa na chuki, manung'uniko, husda, inda na hiyana. Ishi maisha ya kadiri na imani hutazeeka daima." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile Photo

"Unashindwa kujiombe kwa Mungu unachokita. Ila kila siku unapambana kuwaombea wengine mabaya. Mungu anajua kazi yake punguza kiherehere." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile Photo

"Najua maisha yangu yanawafanya mugombane na waganga wenu. Hivi hujui kama Mungu humpa amtakae na kwa wakati wake." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️

Hakimu_Wa_Ghetto⚖️ (@omarchai001) 's Twitter Profile Photo

"Mara nyingine ni bora kuumizwa na rafiki mwenye nia njema kuliko kuishikilia furaha ya adui anayejiita ndugu." #Hakimu_Wa_Ghetto⚖️