Leonard Njoroge (@njoroge761) 's Twitter Profile
Leonard Njoroge

@njoroge761

Agriculture services & Education

ID: 1700825573231415296

linkhttp://wa.me/+225746993246 calendar_today10-09-2023 10:57:14

9,9K Tweet

510 Followers

926 Following

Rajamu (@dadaconso) 's Twitter Profile Photo

mnadhani sisi ambao hatutaki mazoea na baadhi ya watu humuni vilaza eeh.. tunawajua wanafki, sana tu.. ndio maana wengine hata kuna muda hatutaki hata ku-interact nao maana tunajua THEY ARE FISHING FOR INFORMATION.. CHAGUA WATU WA KUONGEA NAO VITU VYAKO VYA MSINGI HUMU..

Mwinshehe🕊️ (@mwinshehe07) 's Twitter Profile Photo

Tz tunaagiza zaidi ya tani milioni moja za ngano kwa mwaka kwa gharama ya TSh trilioni 1.3+ wakati tuna ardhi na watu Kama tunaweza kuwachukua wahitimu wa form 6 tukawapeleka JKT! Wahitimu wa chuo kikuu wanaoweza waajiriwe wapewe matrekta, visima etc wazalishe ngano walipwe

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate. Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako. Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Ukienda kutafuta fursa mahali, usijiandae kuelezea tu ulichosoma. Jiandae kuelezea unachoweza kufanya. Na ukiulizwa unatafuta kazi gani, epuka kusema ‘yoyote itanifaa’. Jibu la namna hiyo humfanya mtu ashindwe kuona au kufahamu thamani yako. Badala yake sema, ‘Nina ujuzi katika

Jogoo la Shamba Linalowika Mjini (@jmariotz) 's Twitter Profile Photo

Dear Bro, You’ll forever be remembered Kama mmoja wa game changers wakubwa kwenye FA - industry hapa 🇹🇿. 1.Details Oriented 2.Fair analysis 3.Kukwepa siasa za mpira wa bongo Umeipa thamani sana tasnia na unainspire vijana wengi sana mitaani, ur the 🐐 of your generation.