NTV Sasa
@ntvsasa
Kipindi kinachojumuisha gumzo mitaani, mijadala ya kisiasa, maswala ya kijamii na taarifa za kaunti, kila Jumatatu hadi Ijumaa saa saba unusu #NTVSasa
ID: 786910875324211204
14-10-2016 12:45:47
7,7K Tweet
7,7K Followers
49 Following
Nairobi Hakuingiliki: Juhudi za Raila Odinga kuingia katikati ya jiji la Nairobi kufanya maandamano zagonga mwamba baada ya barabara kadhaa kufungwa na polisi. Raila ameahidi kufanya maandamano kama ya leo kila Jumatatu. #NTVJioni Lofty Matambo
'Machozi Monday' Jiji la Nairobi lasalia mahame baada ya #maandamano yaliyoongozwa na Raila Odinga. #NTVJioni Lofty Matambo Ibrahim Karanja.
Gharama Ya Matibabu Kenya: Huwa natumia zaidi ya KES 35,000 kila mwezi kwa matibabu ~ Josephat Monda, anayetibiwa maradhi ya figo. #NTVSasa Loise Wangui
Gharama Ya Matibabu Kenya: Ukiwa mgonjwa na utake NHIF igharamie matibabu, huwa ni kama unaomba ilhali ni pesa yako ~ Charles Kese. #NTVSasa Loise Wangui
SWALI: Je, una ujumbe upi kwa Rais William Ruto na kinara wa azimio Raila Odinga? #NTVSasa Nicholas Wambua
Afya Ya Mfumo Wa Mkojo: Dkt Samuel Mathenge aeleza aina za hali ya kukosa kushikilia mkojo. #NTVSasa Loise Wangui
Afya Ya Mfumo Wa Mkojo: William Getumbe: Mkojo unatoka nikiwa nimekaa, nikiwa nimelala au hata nikitembea. #NTVSasa Loise Wangui
Afya Ya Mfumo Wa Mkojo: William Getumbe: Wanaume wanaotumia 'adult diapers' huogopa kuzitumia watu wakiona. #NTVSasa Loise Wangui
Dkt Daisy Korir: Wakati mwingine mtu aliye na homa hana tofauti kubwa na mtu anayeugua malaria. #NTVSasa Loise Wangui
Kwa nini homa husambaa sana wakati wa baridi? Dkt Daisy Korir: Virusi vinavyosababisha homa husambaa sana wakati wa baridi. #NTVSasa Loise Wangui
'Watoto wengi siku hizi wanakula weetabix, cerelac sanasana...' Dkt Daisy Korir na Esther Kangogo wazungumzia kinga ya mwili ya watoto dhidi ya homa na maradhi mengine. #NTVSasa Loise Wangui
Kujifungua kupitia upasuaji. Tazama #NTVSasa na Loise Wangui youtube.com/watch?v=OPwORx…
Daktari Paul Omondi aeleza utaratibu wa kujifungua kwa njia ya upasuaji (C-section). #NTVSasa Loise Wangui