Kassim Abdallah (@mwalim_junior) 's Twitter Profile
Kassim Abdallah

@mwalim_junior

ID: 1264085520356904960

calendar_today23-05-2020 06:48:09

43,43K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Mhe. Salum Mwalim amekutana na wajumbe wa Sekretari - Zanzibar na kuongoza kikao cha kawaida katika Ofisi Kuu ya Chama Mpendae Zanzibar. Agosti 02, 2025.

Katibu Mkuu Mhe. Salum Mwalim amekutana na wajumbe wa Sekretari - Zanzibar na kuongoza kikao cha kawaida katika Ofisi Kuu ya Chama Mpendae Zanzibar. Agosti  02, 2025.
القرآن (@quranconnect_) 's Twitter Profile Photo

Islam spreading in Europe through knowledge not the sword. The Qur’an echoing in London, beauty in every verse. Maa Shaa Allah😍 ❤️

Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

Ninaomba Kuwashukuru Viongozi watu 1. Mh Salum Mwalimu 2. Mh Benson Kigaila 3. Mh John Mrema Ni Viongozi waliopambana bila kuogopa na hasa wakati huu wameamua kuendeleza harakati bila Kuogopa. Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Bawacha Kanda Ya Pwani Leo Amejivua Uanachama wake na

CHAUMMA Tanzania (@chaummat) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo,August 2,2025 amezindua Ofisi ya Chaumma Jimbo la Kibamba, iliyopo Mtaa wa King'azi B Kata ya Kwembe. Pamoja na mambo mengine, Mkurugenzi Kinabo, ameunda uongozi wa Tawi la

John Mallya,Esquire (@johnmallya) 's Twitter Profile Photo

Ni tarehe tatu ya leo au kuna ingine waungwana? Vijana wakiwa na kiu ya kutukana wanatunga tarehe, wanaitumia kuachia ya moyoni...! Malizeni matusi mrudi kwenye reality.

NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

"Ninaomba Kuwashukuru Viongozi watatu 1. Mh Salum Mwalimu 2. Mh Benson Kigaila 3. Mh John Mrema Ni Viongozi waliopambana bila kuogopa na hasa wakati huu wameamua kuendeleza harakati bila Kuogopa." Husna Masoud Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Bawacha Kanda ya Pwani.

NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, leo amezindua Ofisi ya Chaumma Jimbo la Kibamba, iliyopo Mtaa wa King'azi B Kata ya Kwembe. Pamoja na mambo mengine, Mkurugenzi Kinabo, ameunda uongozi wa Tawi la King'azi B

Rachel P. Mkadala (@lightmadame) 's Twitter Profile Photo

WATIA NIA wa KUGOMBEA UBUNGE kupitia CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA), Kutoka majimbo 8 ya MKOA wa TANGA katika PICHA ya PAMOJA.

WATIA NIA wa KUGOMBEA UBUNGE kupitia CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA), Kutoka majimbo 8 ya MKOA wa TANGA katika  PICHA ya PAMOJA.
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu - Zanzibar Mhe. Mohammed Massoud afungua tawi katika kijiji cha Chanja kombeni - Pemba. Agosti 03, 2025. 📍Jimbo la Gando. 📍Wilaya ya Wete 📍Mkoa Kaskazini Pemba

Naibu Katibu - Zanzibar Mhe. Mohammed Massoud afungua tawi katika kijiji cha Chanja kombeni - Pemba. Agosti 03, 2025.

📍Jimbo la Gando.
 📍Wilaya ya Wete
 📍Mkoa Kaskazini Pemba
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

August 2,2025 Naibu katibu Mkuu Bara Mh.Benson Kigaila amempokea na kumkabidhi kadi Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Bawacha Kanda Ya Pwani . Amejivua Uanachama wake na Kujiunga na Jeshi la Ukombozi Chaumma. Karibu sana CHAUMMA.

August 2,2025 Naibu katibu Mkuu Bara Mh.Benson Kigaila amempokea na kumkabidhi kadi 
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Bawacha Kanda Ya Pwani .

Amejivua Uanachama wake na Kujiunga na Jeshi la Ukombozi Chaumma.

Karibu sana CHAUMMA.
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Watia Nia Wa Ubunge na Udiwani wa kata na majimbo ya Jiji la Tanga wakipokea Fomu ya kuomba ridhaa kugombea ubunge Mkoani humo kupitia ticket ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA

Watia Nia Wa Ubunge na Udiwani wa kata na majimbo ya Jiji la Tanga wakipokea Fomu ya kuomba ridhaa kugombea ubunge Mkoani humo kupitia ticket ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA
GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

Usitake Kuniambia Kua Vijana hawa CHAULA DEUSI SOKA MDUDE NYANGALI KIPANYA Kwamba vijana hao walikua ni Hatari kwa Serikali ya Awamu ya Sitta Chini ya Samia Suluhu Mpaka Kufikia Wao KUTEKWA...!! Sio sawa Kiukweli Hizo Nafsi Hamkuzitendea Haki Kabisaa, ni Bora hata Mgewafunga.

John Mallya,Esquire (@johnmallya) 's Twitter Profile Photo

We’re in the heart of the Southern Highlands- Ikinga'si village Njombe,overseeing agro-investment ventures on fertile land ideal for Timber (Eucalyptus, Pine),Tea plantations, Avocados all high-value global export crops Beyond beauty, this land holds immense commercial potential.

We’re in the heart of the Southern Highlands- Ikinga'si village Njombe,overseeing agro-investment ventures on fertile land ideal for Timber (Eucalyptus, Pine),Tea plantations, Avocados all high-value global export crops
Beyond beauty, this land holds immense commercial potential.