MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile
MSLegalAidCampaign

@mslacampaign

Kampeni ya utoaji huduma ya Msaada wa Kisheria kwa wanyonge iliyopewa jina la Mama Samia legal Aid Campaign.

ID: 1624087509931110402

linkhttps://www.mslac.or.tz calendar_today10-02-2023 16:47:27

1,1K Tweet

1,1K Followers

735 Following

Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahimiza Waandishi Waendesha Ofisi kujiweka tayari ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia kwa kuendelea kujifunza na kuwa wabunifu zaidi kwa kuwa ustadi katika TEHAMA unakuwa ni sifa muhimu katika majukumu yao.

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

NENDENI MKATAWALE KWA HAKI, NENDENI MKATATUE MIGOGORO Katika semina ya utoaji wa elimu ya msaada wa kisheria kwa viongozi wa vijiji na ngazi ya kati iliyofanyika mjini Songea, mkazi wa Songea, Hamisi Abdala, ametoa wito mzito kwa viongozi hao kuzingatia haki na sheria katika

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

"Nataka Niwaambie, Wizara Ya Katiba Na Sheria Ni Injini Ya Nchi. Nchi Yoyote Duniani Ni Sheria, Huwezi Kufanya Jambo Lolote Bila Sheria Hakuna Mtu Aliye Salama Baada Ya Mungu Kumpa Uhai Ni Mwanasheria." - Hamisi Abdala #SisiniTanzania #sisindiowajenziwatanzaniayetu

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Dada Halima hatimaye avunja ukimya wake mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria katika tukio lililogusa hisia za wengi. Akiwa na ujasiri na maumivu aliyoyabeba kwa muda mrefu, Halima amesimulia sakata lililomuumiza moyo wake kwa miaka mingi – akiomba haki, usikivu na suluhisho la

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Kuandika Wosia Sio Kujitabilia Kifo: Kisa Cha Mirathi Kilichosambaratisha Familia. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SONGEA #RUVUMA #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya #IKULUMAWASILIANO #SSH

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 Ibara ya 13(6)(a): “Kila mtu anayo haki ya kusikilizwa kwa ukamilifu na kwa haki mbele ya chombo kinachotatua migogoro ya haki zake.” MSLAC inaunga mkono ibara hii kwa kutoa msaada wa kisheria, kuhakikisha mtu hata kama hana uwezo

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977
Ibara ya 13(6)(a):

“Kila mtu anayo haki ya kusikilizwa kwa ukamilifu na kwa haki mbele ya chombo kinachotatua migogoro ya haki zake.”

MSLAC inaunga mkono ibara hii kwa kutoa msaada wa kisheria, kuhakikisha mtu hata kama hana uwezo
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

2. Muktadha wa Kikatiba (Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977) Ibara ya 13(6)(a): “Wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi na mahakama au chombo kingine chochote kinachohusika, basi mtu huyo atakuwa na haki ya kupewa nafasi ya kusikilizwa kwa

2. Muktadha wa Kikatiba (Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977)
Ibara ya 13(6)(a):

“Wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi na mahakama au chombo kingine chochote kinachohusika, basi mtu huyo atakuwa na haki ya kupewa nafasi ya kusikilizwa kwa
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu kama mlezi wa haki za binadamu, usawa na sheria kwa mujibu wa Katiba. Anaakisi uongozi unaojikita katika misingi ya utawala wa sheria, ulinzi wa haki, na maendeleo ya kijamii yanayojali utu wa kila raia. #mslac #Kazinaututunasongambele #katibanasheria

Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>  kama mlezi wa haki za binadamu, usawa na sheria kwa mujibu wa Katiba.
Anaakisi uongozi unaojikita katika misingi ya utawala wa sheria, ulinzi wa haki, na maendeleo ya kijamii yanayojali utu wa kila raia.
#mslac #Kazinaututunasongambele #katibanasheria
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha si tu kama kiongozi wa nchi, bali mlezi wa haki anayeweka mazingira rafiki ya kila Mtanzania kupata haki kwa usawa. #mslac #Kazinaututunasongambele #katibanasheria #ikulumawasiliano

Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha si tu kama kiongozi wa nchi, bali mlezi wa haki anayeweka mazingira rafiki ya kila Mtanzania kupata haki kwa usawa.
#mslac #Kazinaututunasongambele #katibanasheria #ikulumawasiliano
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko Makubwa Kwenye Sheria 57 Zilizotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwezi Februari 2024 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake kilichofanyika mwezi Februari 2024, lilipitisha mabadiliko makubwa katika Sheria 57. Mabadiliko haya

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko ya sheria yaliyofanywa juu ya mchakato wa uchaguzi. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Dkt.Samia Afanikisha Asilimia 103.8% ya utekelezaji wa upelekaji haki kwa wananchi. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laelekeza Sheria Mpya Kuandikwa kwa Kiswahili Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeelekeza kuwa sheria zote mpya zinazotungwa zitaandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Hayo yamesemwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro,

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Tunamshukuru sana Mungu kwa kutupa Raisi mwenye maono na watu wake-wananchi Arusha. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Utendaji kazi wa Dkt.Samia wabadilisha maisha ya wananchi. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alisema kuwa serikali inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba. Kauli hiyo ilisisitizwa pia na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro.

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

MGOGORO SUGU WAFIKA MWISHO, MAMA ATOA SHUKURANI ZAKE MBELE YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu