𝗠𝗿 π˜€π—Άπ˜†π—²π—»π—΄π—Ό (@mrsiyengo) 's Twitter Profile
𝗠𝗿 π˜€π—Άπ˜†π—²π—»π—΄π—Ό

@mrsiyengo

Infinite curiosity GLitch | πŒπƒ | 🧭

ID: 1622381618282508288

calendar_today05-02-2023 23:49:01

138,138K Tweet

6,6K Followers

4,4K Following

Pumpkin πŸŽƒ (@apvmpkin) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi dhamira thabiti ya Tanzania kutokomeza malaria Afrika, akisisitiza mikakati ya vyandarua vyenye dawa, huduma za haraka, tafiti, na ushirikiano wa kimataifa. Alitoa wito kwa viongozi

𝗠𝗿 π˜€π—Άπ˜†π—²π—»π—΄π—Ό (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia kurejea nchini Tanzania, leo tarehe 15 Februari, 2026. Rais Dkt. Samia alikuwemo nchini humo ..

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia kurejea nchini Tanzania, leo tarehe 15 Februari, 2026.

Rais Dkt. Samia alikuwemo nchini humo ..
Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt. Samia alikuwemo nchini humo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku nne, ambapo pamoja na mambo mengine alishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika tarehe 14 na 15 Februari, 2026.

Cake's and foods (@rahma_makeki) 's Twitter Profile Photo

Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea kwenye medani za kimataifa kutokana na umahiri na ushawishi mkubwa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa.

One Sister (@rahma_simba) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia kurejea nchini Tanzania, leo tarehe 15 Februari, 2026. Rais Dkt. Samia alikuwemo nchini humo kwa ajili ya ziara ya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia kurejea nchini Tanzania, leo tarehe 15 Februari, 2026.

Rais Dkt. Samia alikuwemo nchini humo kwa ajili ya ziara ya
𝗠𝗿 π˜€π—Άπ˜†π—²π—»π—΄π—Ό (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

Diplomasia ya Tanzania imepata shujaa wa kweli – Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiongozi mwenye maono, utu na dhamira ya kuleta mabadiliko chanya, akilindea na kuwakilisha maslahi ya Tanzania na bara la Afrika kwenye jukwaa la kimataifa.

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

HEKAYA ZA DOMO KAYAπŸ“Œ πŸ‘‰Oct 2025: Hakuna uchaguzi utafanyika mwaka huu. πŸ‘‰Nov 2025: Hatutambui matokeo ya uchaguzi πŸ‘‰Dec 2025: UN ije kuongoza serikali ya mpito na uchaguzi urudiwe tena. πŸ‘‰Jan 2026: Wanataka kumuuwa Chiba na kumpa sumu akiwa jela πŸ‘‰Jan 2026: Chiba

HEKAYA ZA DOMO KAYAπŸ“Œ

πŸ‘‰Oct 2025: Hakuna uchaguzi utafanyika mwaka huu.

πŸ‘‰Nov 2025: Hatutambui matokeo ya uchaguzi

πŸ‘‰Dec 2025: UN ije kuongoza serikali ya mpito na uchaguzi urudiwe tena.

πŸ‘‰Jan 2026: Wanataka kumuuwa Chiba na kumpa sumu akiwa jela

πŸ‘‰Jan 2026: Chiba
Cake's and foods (@rahma_makeki) 's Twitter Profile Photo

Safari ya kikazi ya siku nne ya Samia Suluhu Hassan nchini Ethiopia imeendelea kuipa Tanzania heshima na sauti kubwa ndani ya Umoja wa Afrika. Ushiriki wake katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeimarisha nafasi ya taifa letu katika diplomasia, ushirikiano wa kikanda‡️

Troll Trends πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@troll_trends20) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia kurejea nchini Tanzania, leo tarehe 15 Februari, 2026....

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia kurejea nchini Tanzania, leo tarehe 15 Februari, 2026....
Pumpkin πŸŽƒ (@apvmpkin) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia kurejea nchini Tanzania, leo tarehe 15 Februari, 2026. Rais Dkt. Samia alikuwemo nchini humo kwa ajili ya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia kurejea nchini Tanzania, leo tarehe 15 Februari, 2026.

Rais Dkt. Samia alikuwemo nchini humo kwa ajili ya
Cake's and foods (@rahma_makeki) 's Twitter Profile Photo

Sasa huyu mkufunzi wa sheria na mzee Hashim Rungwe wako na tofauti gani wazee wa ubwabwa Ila mkufunzi wa sheria kazidi yeye mpaka mahakamani analilia ubwabwa

Sasa huyu mkufunzi wa sheria na mzee Hashim Rungwe wako na tofauti gani wazee wa ubwabwa

Ila mkufunzi wa sheria kazidi yeye mpaka mahakamani analilia ubwabwa
Graphics GhostπŸ‘» (@abbastudios119) 's Twitter Profile Photo

Kilamtu anajua kuwa Lissu alikua anakataa chakula, sasa alitaka kubembelezwa kwani kuna mke wake wa kumbbeleza kule jela. Janja ashakua Babu sasa ila anatabia za kilast bornπŸ€”πŸ€”πŸ€£

Kilamtu anajua kuwa Lissu alikua anakataa chakula, sasa alitaka kubembelezwa kwani kuna mke wake wa kumbbeleza kule jela. Janja ashakua Babu sasa ila anatabia za kilast bornπŸ€”πŸ€”πŸ€£
𝗠𝗿 π˜€π—Άπ˜†π—²π—»π—΄π—Ό (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt. Samia Suluhu anajivunia kutetea maslahi ya taifa letu kwa ustadi mkubwa. Diplomasia ya Tanzania imepata mwelekeo mpya wa mafanikio chini ya uongozi wake, akiwa shujaa wa kweli katika medani za kimataifa