Modesta Z (@modestaz7) 's Twitter Profile
Modesta Z

@modestaz7

ID: 1308864820339519492

calendar_today23-09-2020 20:24:58

149,149K Tweet

120,120K Followers

6,6K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Sijazuiwa wala hakuna amri yoyote ya zuio la mimi kufanya kipindi. Propaganda za kuzuiwa na mahakama sio za kweli. Nafikiri waandaaji wa kipindi wanapaswa kuwambia watazamaji na Watanzania nani amewapa maelekezo hayo ya kunizuia. Pili nani amezuia mgeni mwingine walieniambia

Ms_Frida💎 (@famworld2025) 's Twitter Profile Photo

Watu wanasema ajira mbaya, am here to tell you kama umepata nafasi ya kuajiriwa ajiriwa ujifunze vitu na itakusaidia katika ukuaji wako kabla hujaamua kuanzisha kitu chako, katika ajira utajifunza vitu kama mikataba ya wafanyakazi, haki na wajibu na namna ya kupigania malengo🤝🙏

Mpishi 🤎✨ (@msosi_flavour) 's Twitter Profile Photo

Please Rt 🙏 Changamoto/Kitunguu zipo options tofaut tofaut 😍😍🔥 Tunafanya delivery kwa haraka na nafuu. Tunacharge 500 ya take away Tunapatikana: Budget,Sinza Lion. Namba zetu: 0625198207. Karibuni sana 🫶🏼

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kwanza nianze kwa kutoa shukrani kwa MUNGU kwa kuiona siku ya 27.6.2025. Hii ni siku ambayo nilizaliwa upya tena chini ya jua. Baada ya kupigwa RISASI YA KICHWA na kuachwa kama maiti niwe chakula cha MAMBA NA VIBOKO pembezoni mwa mto huko MBUGA YA KATAVI lakini vyote havikuweza

Kwanza nianze kwa kutoa shukrani kwa MUNGU kwa kuiona siku ya 27.6.2025. Hii ni siku ambayo nilizaliwa upya tena chini ya jua.

Baada ya kupigwa RISASI YA KICHWA na kuachwa kama maiti niwe chakula cha MAMBA NA VIBOKO pembezoni mwa mto huko MBUGA YA KATAVI lakini vyote havikuweza
CoCo🍫💦 (@yourfrenchfry) 's Twitter Profile Photo

Tukiweza, tuwatoe yatima kwenye uyatima. Viroba vya mchele na juisi vitawasogezea siku ila bado watabaki yatima. Ieleweke, ni jambo jema, silipingi.. and by all means tuwape hizo faraja. Ila tukiweza, tuwatoe kwenye uyatima.

Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa Katiba, Maldives ndiyo nchi pekee duniani yenye asilimia 100 ya rai wake ni waumini wa dini ya Kiislamu.--@unesco #worldfacts | #mulika255

Kwa mujibu wa Katiba, Maldives ndiyo nchi pekee duniani yenye asilimia 100 ya rai wake ni waumini wa dini ya Kiislamu.--@unesco

#worldfacts | #mulika255
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wanafurahia sana, wanapoona anayegombea/aliyeteuliwa/aliyechaguliwa kuwa kiongozi fulani ni mtu wanayefahamiana naye au ni mtu wake wa karibu au ana maslahi naye. Hata kama mtu huyo hatoshi kwenye nafasi hiyo ya uongozi, lakini kwakuwa ni mtu wake wanafahamiana,

Mishalymish (@mishalymish) 's Twitter Profile Photo

Namtukuza M/MUNGU kwajili Tumefikia 3,267,800 Zinaitajika pesa Million 107,734,920/= sawa na (Dollar elfu 40 za kimarekani) NAWAOMBA/NAKUOMBA WEWE UWE SABABU YA MIMI KUSIMAMA Mpesa +255766180656 Tigo pesa +255718626642 MISHALY .S. SUMARY Bank account CRDB :0152078706601

Namtukuza M/MUNGU kwajili Tumefikia 3,267,800
Zinaitajika pesa Million 107,734,920/= sawa na (Dollar elfu 40 za kimarekani) 
NAWAOMBA/NAKUOMBA WEWE UWE SABABU YA MIMI KUSIMAMA Mpesa +255766180656

Tigo pesa +255718626642

MISHALY .S. SUMARY

Bank account CRDB :0152078706601
iPhone Used Genuine  (@iphone_usedtz) 's Twitter Profile Photo

Google Pixel 6Pro 128GB|Ram 12GB Black Color Tsh 490,000/= tzs NB:Mikoani tunatuma malipo Baada ya kupokea Exchange & Top up allowed 📞/Whatsapp 0683678977 KINDLY REPOST🔥☄️🎉

Google Pixel 6Pro

128GB|Ram 12GB
Black Color 
Tsh 490,000/= tzs

NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Exchange & Top up allowed
📞/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST🔥☄️🎉
Modesta Z (@modestaz7) 's Twitter Profile Photo

Nilikua sijui kuachisha mtoto kunyonya kama ni vita😀😀 Usiku bhn Peter amenilamba kofi na kichwa juu Siku hizi 2 alikua mpole jana uvumilivu ukamshinda😀😀