Felix Minga(@MingaFelix) 's Twitter Profileg
Felix Minga

@MingaFelix

ID:3473737277

calendar_today28-08-2015 21:57:09

181 Tweets

79 Followers

372 Following

Felix Minga(@MingaFelix) 's Twitter Profile Photo

Dogo asiyependa Shule alishuudia Mwizi akiiba kwao usiku, wakati Mwizi anaondoka Dogo akamdaka Mguu kisha akamwambia kama hukuchukua na Begi langu la Shule napiga kelele...!!!???

account_circle
Salim Bimani(@salimbimani2) 's Twitter Profile Photo

Hata watoto wasio dhambi walimpenda MO naamini kwa Upendo Wao na duwaa zao zitawezesha kupatikana akiwa mzima, tuendeleze juhidi mpaka Uovu huu tuushinde na Waliohusika kuadhibiwa kwa Mujibu wa Sheria za Nchi.Ado Shaibu Anderson Ndambo Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Godbless E.J. Lema

Hata watoto wasio dhambi walimpenda MO naamini kwa Upendo Wao na duwaa zao zitawezesha kupatikana akiwa mzima, tuendeleze juhidi mpaka Uovu huu tuushinde na Waliohusika kuadhibiwa kwa Mujibu wa Sheria za Nchi.@AdoShaibu @anderson_ndambo @zittokabwe @godbless_lema
account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Mh Mwigulu,Mungu anakupenda sana ukitafakari utapaswa kumshukuru.
Mh Kange umekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nakuombea kwa Mungu ujue kuwa Binadamu ni Roho anayo Nafsi anaishi katika Mwili.Angalia mwili wako na akili zako zisiangamize Roho yako katika wajibu huu mgumu.

account_circle
Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kusoma hotuba ya mhe Zitto juu ya watu waliopotea na familia zilizoteswa huko MKIRU. Kwa sasa nimepata taswira Kwa nini viongozi wengi wa upinzani wamechagua kukaa kimya. Sio kama hawataki kuongea ila nguvu inayotumika kuwanyamazisha ni kubwa sana.

account_circle