Mickdad Uhuru (@mickdaduhuru) 's Twitter Profile
Mickdad Uhuru

@mickdaduhuru

Public Relations & Community Engagement Officer @globalimpacttransformation
Former president of the Institute of Social Work Students' government

ID: 4185010564

linkhttps://l.instagram.com/?u=https%3A%2F%2Fforms.gle%2FXAgJ5vRdZZ26h8t9A&e=AT1P_WYcNfHsazxlUNuDXOEJKKL calendar_today14-11-2015 08:20:26

398 Tweet

214 Takipรงi

312 Takip Edilen

Mickdad Uhuru (@mickdaduhuru) 's Twitter Profile Photo

Kwenye maisha Usipojituma utatumwa, usipochagua utachagulia Usipojisimamia utasimamiwa Uamuzi ni wako #thepurposeistobeuseful

Mickdad Uhuru (@mickdaduhuru) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea siku ya saratani duniani serikali ya wanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISWOSO) tumeandaa tukio la hisani (ISWOSO CANCER AID) ambapo tunatazamia kwenda hospitali ya Ocean Road kuchangia damu na fedha kwaajili ya manunuzi ya dawa kwa wagonjwa wa saratani...

Nitumie fursa hii kukuomba ndugu mtanzania kushirikiana nasi katika jambo hili muhimu la kurudisha tabasamu na kuokoa nguvu kazi ya taifa. Tafadhali wasilisha mchango wako kupitia nambari za simu zinazoonekana. Mungu awabariki sana. #thepurposeistobeusefu

Mickdad Uhuru (@mickdaduhuru) 's Twitter Profile Photo

Ngazi ya nne katika uongozi ni pale ambapo kiongozi hutengeneza viongozi wengine. Januari 27, tulishiriki mafunzo maalum ya uongozi kutoka kwa wakufunzi wabobezi kutoka, Global Platform @gp_tanzania Tanzania, Brack @brac_finance_tz Tanzania na The better you.

Ngazi ya nne katika uongozi ni pale ambapo kiongozi hutengeneza viongozi wengine.
Januari 27, tulishiriki mafunzo maalum ya uongozi kutoka kwa wakufunzi wabobezi kutoka, Global Platform @gp_tanzania Tanzania, Brack @brac_finance_tz Tanzania na The better you.
Mickdad Uhuru (@mickdaduhuru) 's Twitter Profile Photo

The Better you Ltd , katika maeneo ya STRATEGIC PLANNING FOR ORGANIZATION, EFFECTIVE LEADERSHIP AND ETHICS, EFFECTIVE COMMUNICATION AND EMOTIONAL INTELLIGENCE. Mafunzo haya ni hatua ya muhimu ya kutujengea uwezo zaidi wakiungozi katika maeneo hayo yakimkakati na kutuandaa vyema

kuwa viongozi bora katika taasisi tunazoziongoza na tutakazoziongoza. Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa taasisi washirika wote na wakufunzi kwa maarifa, ujuzi na uzoefu mlitushirikisha nao hakika mmepanda mbengu bora kwa taifa la leo na kesho. Joel Nanauka

kuwa viongozi bora katika taasisi tunazoziongoza na tutakazoziongoza.
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa taasisi washirika wote na wakufunzi kwa maarifa, ujuzi na uzoefu mlitushirikisha nao hakika mmepanda mbengu bora kwa taifa la leo na kesho.
Joel Nanauka
Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile Photo

Kikao cha Bunge la Serikali ya Wanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii Cha kupitisha Katiba Mpya iliyofanyiwa Mabadiliko yanayolenga maslahi ya wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii Campus ya Dar es Salaam ( Kijitonyama) na Campus ya Kisangara mkoani Kilimanjaro. #iswosolegacy

Kikao cha Bunge la Serikali ya Wanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii Cha kupitisha Katiba Mpya iliyofanyiwa Mabadiliko yanayolenga maslahi ya wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii Campus ya Dar es Salaam ( Kijitonyama) na Campus ya Kisangara mkoani Kilimanjaro.
#iswosolegacy
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, ambaye amefariki dunia leo Alhamisi tarehe 29 Februari mwaka 2024 saa 11:30 jioni, katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar

Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, ambaye amefariki dunia leo Alhamisi tarehe 29 Februari mwaka 2024 saa 11:30 jioni, katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar
Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile Photo

#jitambuejiaminichangamkiafursa Tunamtangaza kwenu rasmi, Aunt Sadaka Said @auntsadaka atakuwepo kukutana na mabinti katika semina ya #BINTINAUONGOZI2024 Akiwa ni mbobevu kwenye maswala ya Ushauri wa Saikolojia na mitindo ya maisha.

#jitambuejiaminichangamkiafursa
Tunamtangaza kwenu rasmi, Aunt Sadaka Said  @auntsadaka atakuwepo kukutana na mabinti katika semina ya #BINTINAUONGOZI2024 Akiwa ni mbobevu kwenye maswala ya Ushauri wa Saikolojia na mitindo ya maisha.
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

A Day of Action, A Future Transformed in ZANZIBAR ๐ŸŒŠ In Mazizini, Zanzibar, we came together with Global Impact Transformation Thamini Jamii Organization to turn the tide. From the first light of dawn, we worked side by side, cleaning up the beach, restoring nature, and creating a healthier, cleaner

A Day of Action, A Future Transformed in ZANZIBAR ๐ŸŒŠ

In Mazizini, Zanzibar, we came together with Global Impact Transformation Thamini Jamii Organization to turn the tide. From the first light of dawn, we worked side by side, cleaning up the beach, restoring nature, and creating a healthier, cleaner
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Katika msimu wa tatu wa safari yetu kwenye fukwe za Mazizini Zanzibar, Global Impact Transformation Thamini Jamii Organization tunaendelea kuhamasisha umuhimu wa kulinda na kuthamini mazingira ya asili kwa wenyeji wa Zanzibar. Kwa pamoja, tunaendelea na juhudi za kuhifadhi mazingira, na umuhimu wa

Katika msimu wa tatu wa safari yetu kwenye fukwe za Mazizini Zanzibar,

Global Impact Transformation Thamini Jamii Organization tunaendelea kuhamasisha  umuhimu wa kulinda na kuthamini mazingira ya asili kwa wenyeji wa Zanzibar.

Kwa pamoja, tunaendelea na  juhudi za kuhifadhi mazingira, na umuhimu wa
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Katika harakati zetu za kutunza mazingira ya bahari, vyombo vya habari vinakuwa daraja muhimu la kufikisha ujumbe huu wa maana kwa jamii. Global Impact Transformation ina jukumu kubwa si tu la kufanya usafi wa baharini, bali pia kutumia vyombo vya habari kuhamasisha na kutoa mafunzo kuhusu

Katika harakati zetu za kutunza mazingira ya bahari, vyombo vya habari vinakuwa daraja muhimu la kufikisha ujumbe huu wa maana kwa jamii.
Global Impact Transformation  ina jukumu kubwa si tu la kufanya usafi wa baharini, bali pia kutumia vyombo vya habari kuhamasisha na kutoa mafunzo kuhusu
Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

๐๐ž๐œ๐š๐ฎ๐ฌ๐ž ๐จ๐Ÿ ๐˜๐จ๐ฎ, ๐ˆ๐ฆ๐ฉ๐š๐œ๐ญ ๐‡๐š๐ฉ๐ฉ๐ž๐ง๐ž๐ To our amazing partners, Thamini Jamii Organization @SafeeshaPro dedicated volunteers, and everyone who stood with us during Beach Cleanup Season 3 in Zanzibar, THANK YOU ๐Ÿค Your time, energy, and commitment helped us restore the

Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

๐‘จ๐‘ฎ๐‘จ๐‘ฐ๐‘ต ๐‘พ๐‘ฌ ๐‘ซ๐‘ถ๐‘ด๐‘ฐ๐‘ต๐‘จ๐‘ป๐‘ฌ๐‘ซ ๐’•๐’‰๐’Š๐’” ๐’˜๐’†๐’†๐’Œโ€™๐’” ๐’„๐’‰๐’‚๐’๐’๐’†๐’๐’ˆ๐’†, ๐’ƒ๐’–๐’• ๐’•๐’‰๐’† ๐‘ฉ๐‘ฐ๐‘ฎ ๐’’๐’–๐’†๐’”๐’•๐’Š๐’๐’ ๐’Š๐’”โ€ฆ ๐‘จ๐‘น๐‘ฌ ๐’€๐‘ถ๐‘ผ ๐‘ญ๐‘ฐ๐‘น๐‘ฌ๐‘ซ ๐‘ผ๐‘ท ๐’‡๐’๐’“ ๐’•๐’‰๐’† ๐’๐’†๐’™๐’• ๐’๐’๐’†?! The energy, the hype, the ultimate challengeโ€”EVERY FRIDAY! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ You donโ€™t want to miss this!

Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

We did it! The signature campaign has successfully taken place in Handeni - Tanga! Together, we are creating a movement that inspires hope and unity. How about you? Be part of history, sign NOW! Link available here: 1dream1korea.com/korean-dream-1โ€ฆ #globalimpacttransformation

Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

Women are at the heart of sustainable development their voices, leadership, and innovation are transforming communities and shaping a more inclusive, equitable, and resilient world. By investing in gender equity, we unlock the full potential of societies to create lasting

Women are at the heart of sustainable development their voices, leadership, and innovation are transforming communities and shaping a more inclusive, equitable, and resilient world.

By investing in gender equity, we unlock the full potential of societies to create lasting