Mariestopeshospitals
@Mariestopeshosp
Tunatoa huduma za afya ya uzazi na huduma za afya kwa ujumla katika matawi yetu yote Nchini. Tupigie simu BURE-0800 753 333
ID:1627915107949850624
21-02-2023 06:16:42
121 Tweets
4 Followers
1 Following
Kila mwaka tarehe 28 Mei, Siku ya Usafi wa Hedhi huadhimishwa ili kuongeza uelewa wa umma kuhusu umuhimu wa afya ya hedhi, matumizi sahihi ya bidhaa za hedhi, na imani potofu.
.
Kwa maelezo zaidi kuhusu hedhi tupigie bure 08007533333
#menstrualday2024
Je, Unapata hedhi Nyingi au Isiyo ya kawaida?
.
Karibu upate ushauri zaidi juu ya changamoto hiyo. Tupigie bure 0800753333 au chati nasi WhatsApp 0755896996
.
#mariestopeshospitals #menstruation #menstrulcycle #tanzania
Kupitia wewe na wengine wanajifunza.
.
Kila mwanamke Ana jinsi anavyokabiliana na maumivu kipindi cha hedhi.
Tushirikishe na wengine wapate nondo!
.
Kwa ushauri zaidi tupigie 0800753333 au chati nasi WhatsApp 0755896996
#mariestopes #mariestopes hospitals #tanzania #menstrualday
KAMBI YA MADAKTARI BINGWA MUSOMA!
.
Marie stopes Musoma inakuletea kambi ya madaktari bingwa wa mifupa, afya ya uzazi, watoto na magonjwa ya ndani.
.
Kuweka miadi au maelezo zaidi tupigie bure 0800753333 qu chati nasi WhatsApp 0766896996
#mariestopesmusoma #specialist #campaign
Manesi wetu, Mustakabali wetu, Nguvu ya kiuchumi ya Huduma!
.
Kheri ya siku ya manesi duniani!
.
Karibu Marie Stopes kwa huduma za kiafya.
Tupigie bure 080753333 au chati nasi WhatsApp 0755896996
#nurses #nurses day2024 #mariestopes #mariestopes hospitals #tanzania
Wakunga ni suluhisho la mabadiliko ya tabia ya nchi!
Jiunge sasa na Kiliniki zetu za mama wajawazito, tuweze kukaribisha na wewe kichanga.
Kwa maelezo zaidi tupigie bure 0800753333 au chati nasi WhatsApp 0755896996
#midwifeday2024 #tanzania #daressalaam #mariestopeshospitals
Tupo tayari kukusikiliza, kukuhudumia,na kukushauri.
.
Tupigie bure 0800753333 au chati nasi WhatsApp 0755896996
#maternity #maternity clinics #marietsopeshospitals #tanzania
Marie Stopes Musoma, inawakaribisha kwenye kambi ya madatari bingwa wa afya ya uzazi, mifupa nk.
Weka miadi yako sasa bila kukosa, kwa maelezo zaidi tupigie 0800753333 au chati nasi WhatsApp 0755896996
#mariestopesmusoma #mariestopeshospitals #specialists #orthopedic #musoma #tz
Unahitaji huduma za afya ya uzazi na hujui mahali sahihi?
.
Sasa unaweza kututafuta, kupitia Njia za utafutaji (Search Engines) kama Google, safari nk.
Ukapata maelekezo jinsi ya kufika hospitali na kliniki zetu zilipo karibu yako.
.
#mariestopeshospitals
Happy new month our Esteemed Clients and Followers.
We are Ready to serve you better.
.
To book for Doctors appointment call free 0800753333 or chat with us on WhatsApp 0755896996
.
#mariestopeshospitals
Karibu ujiunge na Kundi la wamama wajawazito. Upate kujifunza kupitia maswali na majibu kutoka kwa watoa huduma wetu, na wamama walio kwenye kundi letu la WhatsApp.
.
Kujiunga Bofya link - chat.whatsapp.com/H2p6ycUAtD26jL…
Kwa mawasiliano zaidi tupigie 080075333
#kwakilahatuayamwanamke