Mangi wa Kichaga (@mangiwakwanza1) 's Twitter Profile
Mangi wa Kichaga

@mangiwakwanza1

Be you.

ID: 1492925683814879243

calendar_today13-02-2022 18:17:00

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Bony 📚 (@bonifacejoseph_) 's Twitter Profile Photo

"Vijana mjiajiri" Vijana wakijiajiri Sasa.!! 😂😂🙌 Yani Mimi nichukue bidhaa dukani kwa Tajiri, nimpelekee mteja Makumbusho, kodi nailipaje Sasa? Tax POLICY ya nchi yetu ipo very POOR 🚮

"Vijana mjiajiri" Vijana wakijiajiri Sasa.!! 😂😂🙌

Yani Mimi nichukue bidhaa dukani kwa Tajiri, nimpelekee mteja Makumbusho, kodi nailipaje Sasa? 

Tax POLICY ya nchi yetu ipo very POOR 🚮
Lucas Massawe (@lucasmassawe_) 's Twitter Profile Photo

Hello everyone, My name is Lucas Massawe from Tanzania 🇹🇿, and I’m incredibly happy to share that I’ve been selected for the most prestigious scholarship in the world – the Chevening Scholarship 2025/26 which is under the Government of United Kingdom(UK) From over 102,000

Hello everyone,

My name is Lucas Massawe from Tanzania 🇹🇿, and I’m incredibly happy to share that I’ve been selected for the most prestigious scholarship in the world – the Chevening Scholarship 2025/26 which is under the Government of United Kingdom(UK)

From over 102,000
M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Nyerere na Wazee wenzake walitumia nguvu kubwa sana kuliunganisha Taifa hili ambalo leo wapo watu wachache kwa maslahi yao binafsi wanaona hata likigawanyika wao hawana chukupoteza. Tulikumbuke hilo! Tuikumbuke bendera ya Taifa na Tuukumbuke ule wimbo wa Taifa...

Collins Okinyo (@bedjosessien) 's Twitter Profile Photo

FT Tanzania 🇹🇿 2️⃣ - 1🇲🇬Madagascar Kudos 👏 Taifa Stars the first team to qualify for the CHAN 2024 Knockout stage. 3 wins in 3 games only conceded 1 goal. Soka25east.com

FT 

Tanzania 🇹🇿 2️⃣ - 1🇲🇬Madagascar

Kudos 👏 Taifa Stars the first team to qualify for the CHAN 2024 Knockout stage. 

3 wins in 3 games only conceded 1 goal.

<a href="/soka25east/">Soka25east.com</a>
Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

⏱️ FT’ Tanzania 🇹🇿 2-1 Madagascar 🇲🇬 ⚽ Mzize (13’) ⚽ Mzize (21’) ⚽ Mika Razafimahataba (33’) The Taifa Stars make it 3 wins from 3 and book their spot in the CHAN knockout stage. Hongera kila mtu — inastahili! 👏 #CHANwithMicky #AfricanFootball

⏱️ FT’

Tanzania 🇹🇿 2-1 Madagascar 🇲🇬

⚽ Mzize (13’)
⚽ Mzize (21’)
⚽ Mika Razafimahataba (33’)

The Taifa Stars make it 3 wins from 3 and book their spot in the CHAN knockout stage. Hongera kila mtu — inastahili! 👏 

#CHANwithMicky
#AfricanFootball
CAF_Online (@caf_online) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿✅ Taifa Stars off to the quarterfinals! 🔥 Purchase your #TotalEnergiesCHAN2024 tickets here 👉 shorturl.at/h8NMe

🇹🇿✅

Taifa Stars off to the quarterfinals! 🔥

Purchase your #TotalEnergiesCHAN2024 tickets here 👉 shorturl.at/h8NMe
CAF_Online (@caf_online) 's Twitter Profile Photo

🎥 HIGHLIGHTS: 🇹🇿 2-1 🇲🇬 Clement Mzize's brace secures the three points for hosts Tanzania. 👏 Purchase your #TotalEnergiesCHAN2024 tickets here 👉 shorturl.at/h8NMe

Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Jana Polepole ameingia Live moja ya vitu alisema ni ACT na Chauma ni matawi ya CCM. Amekuwa akisema anataka REFORMS (majadiliano kabla ya uchaguzi) na Lissu aachiwe. Swali langu ni kwanini Hataki kujiunga Chadema?

Jana Polepole ameingia Live moja ya vitu alisema ni ACT na Chauma ni matawi ya CCM.  Amekuwa akisema anataka REFORMS (majadiliano kabla ya uchaguzi) na Lissu aachiwe.

Swali langu ni kwanini Hataki kujiunga Chadema?
Collins Okinyo (@bedjosessien) 's Twitter Profile Photo

One FACT even CAF will agree 👍 there has never been any CHAN like the Pamoja CHAN 2024 of Kenya 🇰🇪 Uganda 🇺🇬 Tanzania 🇹🇿 . It's been the best 👌 you even think it's an AFCON. East Africans love football ⚽️ It's simply awesome the football, the vibe 😎 Soka25east.com

One FACT even CAF will agree 👍 there has never been any CHAN like the Pamoja CHAN 2024 of Kenya 🇰🇪 Uganda 🇺🇬 Tanzania 🇹🇿 .

It's been the best 👌 you even think it's an AFCON. 

East Africans love football ⚽️ 

It's simply awesome the football, the vibe 😎 
<a href="/soka25east/">Soka25east.com</a>
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna Dada kaomba lift pick up imebeba matofali, Njemba mbili zimempisha siti ya mbele zikaenda kusimama na matofali. Men are good people bwana.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kijana mwenzangu usijisikie vibaya ukahisi umechelewa, kila mtu ana njia yake na muda wake. Ishi kwenye muda na njia yako, wakati wako wa kupata ajira, wa kuanzisha familia, wa biashara yako kustawi na kufanikiwa upo na unakuja. Endelea kupambana na mtegee MUNGU daima.

Learner (@diversity2028) 's Twitter Profile Photo

WaTZ siyo waoga, ila siyo watu wenye utamaduni wa vurugu kwasababu wanaamini kwenye mazungumzo. Hata mfumo wetu wa haki una mazungumzo sana kabla ya kupelekana mahakamani. Kuna DCs, RCs, Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji, Mabalozi kote ni Mazungumzo.