Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profileg
Handsome La Kijiji

@ManenoIzaak

Baba Mzazi/Mungu kwanza/Heshimu Mawazo yangu ila ishi Maisha yako/ Ruksa kunipa ushauri wowote/ Ila si lazima ushauri wako uendeshe
Maisha yangu.

ID:2879039050

linkhttp://www.ManenoIzaak.tz.com calendar_today16-11-2014 02:59:38

483,9K Tweets

423,6K Followers

6,9K Following

Paschal samβ™ˆ(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Simplify VFD ni suluhisho lako la kuaminika kwenye ulipaji kodi. Iwe ni kwa njia ya tovuti, aplikesheni au USSD, Wanakuwezesha kurahisisha utoaji wa risiti zako za EFD. Wasiliana nao uweze kujisajili Sasa.

Simplify VFD ni suluhisho lako la kuaminika kwenye ulipaji kodi. Iwe ni kwa njia ya tovuti, aplikesheni au USSD, Wanakuwezesha kurahisisha utoaji wa risiti zako za EFD. Wasiliana nao uweze kujisajili Sasa. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti
account_circle
Hussein M Bashe(@HusseinBashe) 's Twitter Profile Photo

Wakulima sasa wanajikita na uzalishaji wa miche bora ya michikichi

Tumedhamiria kuboresha uzalishaji wetu wa mafuta ya kula nchini.

Tunafanya jitihada za maksudi kushirikiana na wakulima ili kuongeza ubora wa mafuta haya kuanzia refining hadi packaging

Wakulima sasa wanajikita na uzalishaji wa miche bora ya michikichi #Tanzania Tumedhamiria kuboresha uzalishaji wetu wa mafuta ya kula nchini. Tunafanya jitihada za maksudi kushirikiana na wakulima ili kuongeza ubora wa mafuta haya kuanzia refining hadi packaging #Agenda1030
account_circle
Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profile Photo

Una ujenzi na umekwama hujui unazie wapi, umepata dharula, biashara haziendi

Na umejaribu taasisi mbalimbali za kifedha lakini wameshindwa kukukopesha kwa sababu umeshindwa kukidhi vigezo vyao au riba zao ni kubwa Soft Finance ni sehemu sahihi kwako, waone leo. .

account_circle
πŒπ€π‘π‹π„π˜(@funjojr) 's Twitter Profile Photo

Kila mtu katika maisha yake hupewa nafasi ya kuwa huru na kufanya maamuzi yake, ili baadaye sasa mtu huyo huyo awe responsible kwa machaguo aliyoyafanya.

lapexproperties wanakupa hati miliki ya kiwanja chako bure ukinunua kutoka kwao.

Karibu Uhudumie, HATIMILIKI ni kipaumbele…

Kila mtu katika maisha yake hupewa nafasi ya kuwa huru na kufanya maamuzi yake, ili baadaye sasa mtu huyo huyo awe responsible kwa machaguo aliyoyafanya. @lapexproperties wanakupa hati miliki ya kiwanja chako bure ukinunua kutoka kwao. Karibu Uhudumie, HATIMILIKI ni kipaumbele…
account_circle
Mjege Kinyota, PhDπŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Ukoloni ulipoondoka uliacha madhara mengi sana. Madhara mengi kati ya hayo yanarekebishika haraka na kwa wepesi. Madhara magumu kufuta ni fikra za kikoloni kwenye bongo zetu. Hii huchukua mda mrefu kwa kuwa ni suala la social (re/de)- engineering. Wakoloni nao bado wanatutamani

Ukoloni ulipoondoka uliacha madhara mengi sana. Madhara mengi kati ya hayo yanarekebishika haraka na kwa wepesi. Madhara magumu kufuta ni fikra za kikoloni kwenye bongo zetu. Hii huchukua mda mrefu kwa kuwa ni suala la social (re/de)- engineering. Wakoloni nao bado wanatutamani
account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

🧡 .𝐓𝐇𝐄 π’π–πˆπ“π‚π‡π‡= π…π‹πŽπ

Miongoni Mwa vipindi vilivyotegemewa kuleta Mapinduzi makubwa katika Burudani ni THE SWITCH ya wasafi Fm

Advantage (Faida) moja wapo waliokuwa nayo watangazaji wa wasafi (wote) , Ni kuwa πŸ‘‡

🧡 .𝐓𝐇𝐄 π’π–πˆπ“π‚π‡π‡= π…π‹πŽπ Miongoni Mwa vipindi vilivyotegemewa kuleta Mapinduzi makubwa katika Burudani ni THE SWITCH ya wasafi Fm Advantage (Faida) moja wapo waliokuwa nayo watangazaji wa wasafi (wote) , Ni kuwa πŸ‘‡
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Mhe Nancy Pelosi ni Mbobezi wa Siasa za Marekani na Dunia; ni Mbunge tokea mwaka 1988; alikuwa Spika wa Bunge la Marekani wa Kwanza Mwanamke mwaka 2007-2011; aliandika historia kuchaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge la Marekani mwaka 2019-2023; na namshukuru kwa upendo wake kwangu.

Mhe Nancy Pelosi ni Mbobezi wa Siasa za Marekani na Dunia; ni Mbunge tokea mwaka 1988; alikuwa Spika wa Bunge la Marekani wa Kwanza Mwanamke mwaka 2007-2011; aliandika historia kuchaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge la Marekani mwaka 2019-2023; na namshukuru kwa upendo wake kwangu.
account_circle
🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 πŽβ„’(@CharlieBihemo) 's Twitter Profile Photo

Suala ni Moja tu

Unataka hela na unahitaji Pesa si Ndio πŸ˜†

Usiwazee sana bhana
Soft Finance wapo kwaajiri ya kutoa Pesa fasta pesa zenye Riba kidogo

Utajipatia Mkopo 45 Dakika tu

Suala ni Kufanya Mipango yako iendeeee haraka sana

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nimeelezea jitihada za Mhe Rais Samia Suluhu katika kufanikisha maendeleo ya kidijitali Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ katika Jopo la kujadili Fursa, Changamoto na Utawala Bora wa Akili Mnemba/Bandia β€œAI” katika Mkutano wa Wabunge wa World Bank na IMF hapa πŸ‡ΊπŸ‡Έ.

Aidha, namshukuru…

Nimeelezea jitihada za Mhe Rais @SuluhuSamia katika kufanikisha maendeleo ya kidijitali Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ katika Jopo la kujadili Fursa, Changamoto na Utawala Bora wa Akili Mnemba/Bandia β€œAI” katika Mkutano wa Wabunge wa @WorldBank na @IMFNews hapa #WashingtonDC πŸ‡ΊπŸ‡Έ. Aidha, namshukuru…
account_circle
Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profile Photo

Hapo umetaja wanaume wa 3 kwa wakati mmoja. Mwanaume mmoja akukuze kiroho, kiakili bado huyo huyo akufanye uwe stable ki financial, hawezi kutokea akawa mmoja tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle