Kizimkazi
@mamasamia2025
Kiongozi jasiri, mchapakazi, mzalendo wa kweli, mwenye huruma na unyenyekevu. Mbeba maono wa CCM 2025โ2030.
ID: 1872004882225315840
25-12-2024 19:42:23
147 Tweet
407 Takipรงi
87 Takip Edilen
Tanzania sio Coup d'etat ni Nchi ya kidemokrasia. Chagua Samia Mitano Tena ๐ Tanzania haiwezi kutawaliwa na Jeshi MILELE. Endeleeni kuota mchana kujifariji na Tanzania yenu ya mtandaoni. Tanzania halisi ya mitaani inampenda sana Rais-Maendeleo, Dkt Samia Suluhu. Oktoba 29,
Hongera sana Mama yetu, Dkt. Samia Suluhu ๐ Umeandika ukurasa mpya wa historia ya taifa letu. Mwenyezi Mungu akupe afya, hekima na nguvu kuendelea kutuongoza. ๐น๐ฟ Safari yako si rahisi imejaa changamoto, uvumilivu na hekima. Umeonesha dunia kuwa uongozi ni huduma, si nguvu.
๐งต ๐ก๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐ฆ๐๐๐จ 100 ๐ญ๐ ๐๐ช๐๐ก๐ญ๐ ๐ญ๐ ๐จ๐ข๐ก๐๐ข๐ญ๐ ๐ช๐๐๐, ๐ฅ๐๐๐ฆ ๐๐๐ง. ๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ๐๐จ ๐๐๐ฆ๐ฆ๐๐ก... 1๏ธโฃ Ameweka msingi imara wa mageuzi katika sekta ya afya kwa kuhakikisha huduma bora zinapatikana kwa wote. 2๏ธโฃ Hatua ya Serikali kugharamia
Rais Samia Suluhu Hassan Samia Suluhu ameendelea kuonyesha uongozi wa kipekee katika kukuza diplomasia ya kimataifa. Kupokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Putin ni ishara ya mafanikio yake katika kuimarisha mahusiano kati ya Tanzania na Urusi. Uongozi huu wa Rais Samia