
Shadrack Makula
@makulashadrack
Usiogope
ID: 1445763094097973249
06-10-2021 14:49:47
1,1K Tweet
604 Followers
1,1K Following









Huyu dogo Godson Salema anajitahidi Sana kuisambaza #NoReformsNoElection mtaani zaidi anastahili heshima Tumpe retweet 200




Kama uku tayari kumlinda mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu kwa wivu mkubwa sana na watu wenye Nia ovu ya kukwamisha uongozi wake ndani ya chama.Retweet hapa nikuone kamanda




Kwako Tundu Antiphas Lissu .Wananchi tunakuombea uwe na uwezo wa ku blockout the noise na ku-stay focused. . Wewe ndio aina ya kiongozi aliehitajika at this very moment. . Hatma ya Chadema iko mikononi mwa wananchi wa kawaida. You have our full support kwenye no reforms no elections.


