MAJORY (@major_bundala) 's Twitter Profile
MAJORY

@major_bundala

Rastafarai❤️💚💛☥|| Cultural ||Logstics ||Content creator ||

ID: 1715706734734385152

calendar_today21-10-2023 12:29:36

1,1K Tweet

730 Followers

884 Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tuna vyanzo vingi sana vya maji baridi, sisi ni Nchi ya tatu Duniani.. Huna sababu ya kutumia desalination kupata maji kwasababu ni mfumo ambao ni gharama kubwa kutumia huu mfumo.. Una ziwa Victoria na watu wanaozunguka ziwa tu hawana maji. Mwanza hakuna maji, shida sio maji,

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Humuwezi kuzuia sauti za mateso, uonevu na damu kwa lobbying, mnaweza kuzuia sauti hizo kwa toba,haki na uwajibikaji. Suala la kumwaga damu isiyo na hatia ni kisasi cha Mwenyezi Mungu. Anguko lenu limetimia na majuto ni makubwa sana. Mwanzo 4:10 Akasema, Umefanya nini? Sauti ya

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Oyaaa Machalii, Bro niko Gado, nakula CHABO😁😁 Huyu niaje-niaje kaingiza hewa, hakuna kitu anasema iko solid. Ni kelele za bure, hakuna haki, hakuna ukweli. Mwendo ni ule ule, hakuna kubadilisha gear , 🚫 BAN. 🚫 BAN wasanii wote wanauza uongo. 🚫 Huyu pia piga BAN , unfollow,

Oyaaa Machalii, Bro niko Gado, nakula CHABO😁😁
Huyu niaje-niaje kaingiza hewa, hakuna kitu anasema iko solid. Ni kelele za bure, hakuna haki, hakuna ukweli.
Mwendo ni ule ule, hakuna kubadilisha gear , 
🚫 BAN.
🚫 BAN wasanii wote wanauza uongo.
🚫 Huyu pia piga BAN , unfollow,
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️USHINDI UMEKARIBIA‼️ Huko ndani ni vita vya moto na vya baridi! Nje wanajikausha ila wameshatishika na nguvu ya umma! Naendelea kuwaambia waliopo kwenye mifumo dhalimu - hamna mnachopata kwa sasa zaidi ya laana na chuki kutoka jamii! Simameni na Haki na msiogope tumeshashinda!

‼️USHINDI UMEKARIBIA‼️
Huko ndani ni vita vya moto na vya baridi! Nje wanajikausha ila wameshatishika na nguvu ya umma! 
Naendelea kuwaambia waliopo kwenye mifumo dhalimu - hamna mnachopata kwa sasa zaidi ya laana na chuki kutoka jamii! Simameni na Haki na msiogope tumeshashinda!
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Anaandika Godbless J Lema TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA. Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa

Anaandika Godbless J Lema

TAARIFA ZA UONGO  NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA.

Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la polisi limekaa kimya na ndugu yetu NICODEMUS. Kwenye UTEKWAJI wake alikuwepo MSAIDIZI WA MAFWELE “GEORGE” kwahiyo tunajua yupo mikononi mwajeshi la polisi. #FreeNicodemus REPOST 200 #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Jeshi la polisi limekaa kimya na ndugu yetu NICODEMUS.

Kwenye UTEKWAJI wake alikuwepo MSAIDIZI WA MAFWELE “GEORGE” kwahiyo tunajua yupo mikononi mwajeshi la polisi.

#FreeNicodemus

REPOST 200

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Usiharakishe kupambana na uongo wowote unaosemwa dhidi yako. Ni muhimu kuuruhusu utembee kwa muda, kwa sababu hapo ndipo utakapowatambua wale wanaojaribu kuuamini. Hilo litakupa nafasi ya kuwatoa uliokuwa unafikiri ni marafiki kwenye mahusiano ya urafiki wenu.

Djkid_b (@blessdgroovekid) 's Twitter Profile Photo

"Wamrudishe mwanangu akiwa mzima YOYOTE YULE ALIYEUGUSA ULE MWILI HAKIKA KWA JINA LA YESU NA YEYE ATAKUFA" ✍️Mama Humprey Polepole

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Juzi nilipomuona mama yako akiwa nyumbani kwako kuchukua vitu vyako, niliumia sana. Nilijiuliza moyoni, pengine PolePole alikuwa anawaza kama vijana wengine wengi wanavyowaza bila kujua kesho yake. “ Mama yangu alisaini cheti changu cha kuzaliwa. Mimi nitasaini cheti chake cha

Juzi nilipomuona mama yako akiwa nyumbani kwako kuchukua vitu vyako, niliumia sana. Nilijiuliza moyoni, pengine PolePole alikuwa anawaza kama vijana wengine wengi wanavyowaza bila kujua kesho yake.

“ Mama yangu alisaini cheti changu cha kuzaliwa. Mimi nitasaini cheti chake cha
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Ni miezi mitatu tangu Samia na genge lake wauwe maelfu ya Watanzania kwa risasi za moto ili awe rais. Taifa letu limemeguka zaidi na kuwa mahali si salama tena. Hatutasahu na hatutasamehe mauwaji haya ya kimbari. Tunataka haki na uwajibikaji. RIP to the fallen Heroes.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Leo ni 29.01.26 zimetimia siku 93 tangu mauaji ya kutisha ya raia yafanyike kuanzia siku na baada ya uchaguzi. Ni wastani wa miezi mitatu na siku tatu. Hakuna hata kiumbe mmoja amewajibika/amewajibishwa kwa udhalimu huo. Wameendelea kukana maovu yao yote. Wamegoma kutaja idadi ya

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja ni kujipiga makofi. Ni hatari isiyo na kifani. Hatari hii si ya nadharia tu, bali ni

Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja ni kujipiga makofi. Ni hatari isiyo na kifani. Hatari hii si ya nadharia tu, bali ni
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kumpiga mtu inaweza isiume sana!! Lakini kumzuia mtu kulia baada ya kumpiga inauma zaidi na inatia na hasira na chuki!! Ndicho wanachozidi kukipandikiza sasa hivi!! Itazidi kuchukua miaka mingi sana hili taifa kupona!!

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

TAFAKURI! Leo nataka kuwaambia Gen Z kuwa Tundu Lissu ambaye amejidhirisha kuwa ni political mastermind, brilliant lawyer and international icon ametoka familia ya kawaida ila wazazi wake walikuwa wasomi akiwemo mama yao. Hii picha inaongea mengi! Lissu amesoma shule za

TAFAKURI!
Leo nataka kuwaambia Gen Z kuwa Tundu Lissu ambaye amejidhirisha kuwa ni political mastermind, brilliant lawyer and international icon ametoka familia ya kawaida ila wazazi wake walikuwa wasomi akiwemo mama yao. 
Hii picha inaongea mengi! 
Lissu amesoma shule za