Danford (@magodanford) 's Twitter Profile
Danford

@magodanford

MWEKEZAJI,MBUNIFU na MVUMBUZI. Luk 19:12-27||LOVE MACHINES πŸ› οΈπŸ”§

ID: 1646308685130375169

calendar_today13-04-2023 00:26:08

4,4K Tweet

2,2K Followers

588 Following

Danford (@magodanford) 's Twitter Profile Photo

HISA. Habari njema ni kuwa kuanzia sasa unaweza nunua Hisa 1, Moja, one kupitia app yako ya DSE. Kikomo cha chini cha Hisa 10 kimeondolewa. Haya sasa utasingizia nini tena? Tuendelee kuwekeza πŸš€πŸš€

HISA.
Habari njema ni kuwa kuanzia sasa unaweza nunua Hisa 1, Moja, one kupitia app yako ya DSE.
Kikomo cha chini cha Hisa 10 kimeondolewa.

Haya sasa utasingizia nini tena?

Tuendelee kuwekeza πŸš€πŸš€
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Marekani Donald Trump, amependekeza sera mpya ambapo kila mtoto wa Marekani atakayezaliwa kati ya 2025 na 2028 atapewa akaunti ya uwekezaji ya shilingi 2,605,000/= kutoka serikali kuu. Akaunti hizo zitakuwa hazitozwi kodi hadi fedha zitakapotolewa, na zitawekezwa

Rais wa Marekani Donald Trump,

 amependekeza sera mpya ambapo kila mtoto wa Marekani atakayezaliwa kati ya 2025 na 2028 atapewa akaunti ya uwekezaji ya shilingi 2,605,000/= kutoka serikali kuu. 

Akaunti hizo zitakuwa hazitozwi kodi hadi fedha zitakapotolewa, na zitawekezwa
Danford (@magodanford) 's Twitter Profile Photo

Jifunze kila siku. siku ikiisha useme nimejifunza hili au kile. "Ukikuta mtu ana maarifa mengi kwenye jambo fulani. jua basi katumia muda mwingi kujifunza "

Jifunze kila siku.
siku ikiisha useme nimejifunza hili au kile.

"Ukikuta mtu ana maarifa mengi kwenye jambo fulani. jua basi katumia muda mwingi kujifunza "
Danford (@magodanford) 's Twitter Profile Photo

CRDB πŸ”₯πŸ”₯ NICO πŸ”₯πŸ”₯ DSE πŸ”₯πŸ”₯ kila kitu ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ au wawekezaji hata kwenye hisa kuna Bull run nini??

CRDB πŸ”₯πŸ”₯ 
NICO πŸ”₯πŸ”₯
DSE πŸ”₯πŸ”₯

kila kitu ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

au wawekezaji hata kwenye hisa kuna Bull run nini??
Danford (@magodanford) 's Twitter Profile Photo

Historia imeandikwa CRDB kwa mara kwanza bei ya kununua Hisa yake moja inauzwa sh 1,000.πŸ”₯πŸ”₯ Hongera sana wawekezaji πŸ’ͺπŸ’ͺ

Historia imeandikwa CRDB kwa mara kwanza bei ya kununua Hisa yake moja inauzwa sh 1,000.πŸ”₯πŸ”₯

Hongera sana wawekezaji πŸ’ͺπŸ’ͺ
Danford (@magodanford) 's Twitter Profile Photo

utaendelea kushangaa hivyo hivyo mpaka hawa vijana wadogo ukiwa kuta ni wazee wametulia wanakula gawio mdogo mdogo bila jasho.

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Kitabu Kimoja Kizuri Course Moja Nzuri Mentor Mmoja Mzuri Vinaweza Kufanya Ukatimiza Malengo Yako ya Miaka 10β€”Ndani ya Miezi 6 Tu PS: Endelea Kuwekeza Kwenye TAARIFA sahihi Bila Kuchokaβ€”Hiyo Ndio SHORTCUT ya Uhakika ya Kuzifikia Ndoto zako! Voila!

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Bunge la Ulaya limepitisha pingamizi dhidi ya mpango wa Tume ya Ulaya wa kuelekeza msaada wa kifedha kwenda Tanzania kupitia mfuko wa NDICI-Global Europe hatua inayotajwa kuchochewa na hali ya kisiasa inayoendelea Nchini Tanzania. Hatua hiyo imekuja baada ya matokeo ya kura

Bunge la Ulaya limepitisha pingamizi dhidi ya mpango wa Tume ya Ulaya wa kuelekeza msaada wa kifedha kwenda Tanzania kupitia mfuko wa NDICI-Global Europe hatua inayotajwa kuchochewa na hali ya kisiasa inayoendelea Nchini Tanzania.

Hatua hiyo imekuja baada ya matokeo ya kura
Danford (@magodanford) 's Twitter Profile Photo

UWEKEZAJI. Kwanini Hisa zimefanya vizuri sana, Je ni muda mzuri wa kuwekeza au >Kuna mfuko wa pamoja mwaka jana umetoa faida ya 42% kwa mwaka ni upi? sio UTT❌ >Je crypto mbona kumepoa hivi? Yote hayo na mengine mengi utayapata kwenye Master class hii. Ndahani N. Mwenda

UWEKEZAJI.
Kwanini Hisa zimefanya vizuri sana, Je ni muda mzuri wa kuwekeza au
>Kuna mfuko wa pamoja mwaka jana umetoa faida ya 42% kwa mwaka ni upi? sio UTT❌
>Je crypto mbona kumepoa hivi?

Yote hayo na mengine mengi utayapata kwenye Master class hii.
<a href="/ndahani_mwenda/">Ndahani N. Mwenda</a>