๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š

@labella_mafia95

Techpreneur || Inspire Centre || Funy with Friends || Weekend Vibes || Positive Vibes || Life Adventure || Making Memories || Hustle Hard

ID: 1396347896765820931

calendar_today23-05-2021 06:11:29

306,306K Tweet

200,200K Takipรงi

4,4K Takip Edilen

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Ukiona mafanikio ya rafiki yako, unajiskia kuwa motivated ama inakupa pressure?๐Ÿค” Be realโ€”jibu hapo comments section.

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Ukikutana na mwanaume anafanya biashara ndogo ndogo, mpe support. Huyo ameamua: liwalo na liwe, lakini "siwezi kuwaangusha home." Kule hataki kurudi, nyuma haangalii โ€” mbele ndiko kuna fungu lake.

Ukikutana na mwanaume anafanya biashara ndogo ndogo, mpe support. Huyo ameamua: liwalo na liwe, lakini "siwezi kuwaangusha home." Kule hataki kurudi, nyuma haangalii โ€” mbele ndiko kuna fungu lake.
๐‘๐ž๐Ÿ๐จ๐ซ๐ฆ (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Wanangu, kama ipo ipo tu! Pambaneni kiume, ushindi ni wenu. Hakuna wa kupindisha mipango ya Munguโ€”kama ameandika kombe libaki Tanzania, basi halitoki! Kila la kheri, Mnyama!

Wanangu, kama ipo ipo tu! Pambaneni kiume, ushindi ni wenu. Hakuna wa kupindisha mipango ya Munguโ€”kama ameandika kombe libaki Tanzania, basi halitoki! Kila la kheri, Mnyama!
Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Muda unaponya. Ukipitia magumu, mwombe Mungu nguvu za kuhimili na hekima ya kuendelea. Hakuna hasara ambayo haisahauliki kwenye biasharaโ€”polepole unapona, unasahau, na siku njema zinakuja. Endelea kusonga mbele!

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati akili inazunguka bila majibu. Usiumize kichwaโ€”piga magoti, mwombe Mungu. Halafu rudi ulitafakari tena, utaona njia. Mimi jana nimemuona Mungu! Nilikuwa kwenye moto, lakini baada ya maombi moyo ukatulia, woga ukaondokaโ€”nikawa tayari kupambana!

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Nafurahi kuwaona wajasiriamali wengine wakifanikiwa โ€” najua ilivyo ngumu kupambana ukiwa na mashaka, vikwazo na imani za kukatisha tamaa, huku ukiamini maono ambayo ni wewe tu unaweza kuyaona.

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Siyo lazima nifanikiwe mimi โ€” mkifanikiwa ninyi, nitapiga makofi kwa furaha. Maisha yangu ni zaidi ya mafanikio binafsi; ni kuhusu ni watu wangapi nimewishi kuanza na kuwa na moto wa kutaka mafanikio ndani yao na kuufanyia kazi kwa kuamini.