Kitindamimba (@kitindamimba_) 's Twitter Profile
Kitindamimba

@kitindamimba_

Reporter/Camera person @NtvKenya || Voice Over Artist ||Program Host || Mtaalamu wa Kiswahili

ID: 1532217202489053184

linkhttp://ntvkenya.co.ke calendar_today02-06-2022 04:27:38

20 Tweet

59 Followers

7 Following

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mgomo Baridi Shuleni Kaimosi: Wafanyikazi katika shule maalum Kaimosi, kaunti ya Vihiga wafanya mgomo baridi baada ya miezi 30 bila malipo #NTVJioni Kitindamimba

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Masomo Bila Uwoga: Jesica Kadzo mwenye umri wa miaka 17 arejelea masomo ya kidato cha kwanza kutoka kidato cha tatu kutokana na hali ya uchochole #NTVJioni Kitindamimba

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Tonight, The Memo is a defence of media freedom and a call to basic good manners. This memo is about one Moses Kuria, the CS for Investment, Trade and Industry, who, in most civilised societies, should have resigned. The media does not operate at Kuria's pleasure. #NTVTonight

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

#KonaYaAfya tunaangazia ugonjwa wa seli mundu na madhara yake kwenye jamii na haswaa ndoa, tukimwangazia Jacinta Ochieng, 42, ambaye amekuwa akipigana na ungonjwa huu tangu utotoni. #NTVJioni

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Kona Ya Afya: Sekta ya tumbaku inazalisha na kukuza bidhaa ambazo zimethibitishwa kisayansi kuwa ni za kulevya, kusababisha magonjwa na vifo na kusababisha matatizo mbalimbali ya kijamii, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa umaskini. #NTVJioni

NTV Kenya (@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Kona Ya Afya Leo kwenye makala ya Kona ya Afya tunaangazia magonjwa tofauti tofauti yaliyohusishwa na mabadiliko ya tabianchi. #NTVJioni

KTN News (@ktnnewske) 's Twitter Profile Photo

67 cases of cholera outbreak have been reported countrywide since April following the effects of recent heavy rains in Tana River, Lamu, and Siaya. #NewsLine Dennis Toll Aseto