Anold Kayanda (@kayandaanold) 's Twitter Profile
Anold Kayanda

@kayandaanold

Multimedia producer at the United Nations HQ-New York, USA. Former BBC Journalist, Ex Clouds FM Top 20 main Anchor.

ID: 1285268410893565952

linkhttps://news.un.org/sw/ calendar_today20-07-2020 17:41:04

585 Tweet

556 Takipçi

66 Takip Edilen

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Afisa wa UNnchini #Sudan Nkweta-Salami ametoa wito wa msaada zaidi kwa wananchi huku vita vya kikatili kati ya majeshi hasimu vikitimiza miaka miwili. -Mahitaji ya kibinadamu yanaongezeka -Kuna hatari ya kuenea kwa janga la njaa Ufadhili unazidi kupungua. news.un.org/sw/story/2025/…

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐔𝐇𝐓𝐀𝐒𝐀𝐑𝐈 na Anold Kayanda 📌#Sudan Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa António Guterres asema wamejizatiti kusaka suluhu ya vita 📌Mafuriko, vita, uhaba wa chakula vyafurusha raia #DRC Le HCR en RDC 📌Mkutano wa UN ECOSOC President kuhusu vijana wang'oa nanga #SDGs #ECOSOCYouth

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐔𝐇𝐓𝐀𝐒𝐀𝐑𝐈 na Anold Kayanda 📌Kauli ya Pierre Peron wa UN Humanitarian kuhusu mahitaji ya raia #DRC waliorejea nyumbani 📌Ripoti ya #UNMISS UNMISS yaonesha 📈 la 51% la walioathiriwa vibaya na mzozo #SouthSudan 📌Huko #Gaza UNRWA na wenyeji wakarabati mtambo wa 🚰💦

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

.United Nations yaomboleza 𝗞𝗶𝗳𝗼 𝗰𝗵𝗮 𝗣𝗮𝗽𝗮 𝗙𝗿𝗮𝗻𝗰𝗶𝘀 Apostolica Sedes Vacans Papa Francis na Umoja wa Mataifa walikuwa chanda na pete Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, amefariki dunia leo Jumatatu Aprili 21 katika makazi yake huko Vatican, Roma nchini Italia, akiwa na umri wa miaka 88.

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

𝗠𝗨𝗛𝗧𝗔𝗦𝗔𝗥𝗜 na Anold Kayanda 🎯Mratibu wa OCHA Ukraine Matthias Schmale alaani shambulizi la #Russia nchini #Ukraine #NOTARGET 🎯 Kukatwa ufadhili kwahatarisha utoaji chanjo💉#Immunizationweek 🎯 Leo ni #GirlsInICTDay Kauli ya 𝗠𝗮𝗿𝘆𝗮𝗻𝗻 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗴𝗶 kutoka #Kenya

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Leo tunaangazia siku ya Kimataifa ya Usalama na Afya Kazini, na juhudi za Umoja wa Mataifa za kusaidia wakulima Sudan Kusini kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.Makala tunasalia na usalama kazini na mashinani inatoka nchini #Kenya Msomaji Anold Kayanda news.un.org/sw/audio/2025/…

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Ni kwa vipi TANLAP inasaidia makundi maalum kwenye kupata haki za kisheria ⚖️#Tanzania ? Anold Kayanda wa Umoja wa Mataifa amezungumza na Mkurugenzi Mtendaji 𝗖𝗵𝗿𝗶𝘀𝘁𝗶𝗻𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗶𝗹𝗶 𝗥𝘂𝗵𝗶𝗻𝗱𝗮 United Nations CSW #CSW69

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

𝗠𝗨𝗛𝗧𝗔𝗦𝗔𝗥𝗜 na Anold Kayanda 📌Makubaliano yapitishwa #WHA78 kukabili #pandemic World Health Organization (WHO) 📌Huko #Gaza misafara ya misaada yaanza kuingia UN Humanitarian 📌Ukata kukata misaada ya chakula kwa wahitaji #DRC WFP DRC

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Jarida na Anold Kayanda 🎙️Kauli kuhusu mashambulizi ya #Russia nchini #Ukraine 🎙️Mradi wa Operesheni Rejea Shuleni UNICEF Kenya 🎙️Walinda amani wa #UN huko UNMISS kuelekea #Pkday 🎙️Wakimbizi wa #Rwanda warejea nyumbani kutoka #DRC Le HCR en RDC news.un.org/sw/audio/2025/…

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Ni kwa vipi UNICEF en RDC inasaidia watoto ku rejea shuleni mashariki mwa #DRC licha ya ghasia zinazoendelea? Ungana na Anold Kayanda katika simulizi hii ya mwanafunzi wa darasa la 6 jimboni Kivu Kaskazini.

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Hii leo jaridani Anold Kayanda anamulika 📌Huko #Nice #UNOC3 📌Mradi wa FAO Afrique centrale huko Sao Tome na Principe 📌Jinsi UN Environment Programme in Tanzania inasongesha #ClimateAction 📌Vijana na hifadhi ya mazingira #Kenya news.un.org/sw/audio/2025/…

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Muhtasari na Anold Kayanda 📌Wanaofurushwa makwao wazidi kuongezeka UNHCR, the UN Refugee Agency 📌Mtoto mwenye umri wa miaka 12 #SierraLeone aponda kokota kukimu familia UNICEF Sierra Leone #EndChildLabour 📌Njaa yatikisa maeneo yenye vita #SouthSudan UNICEF South Sudan WFP South Sudan FAO in South Sudan

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

📍New York Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ahutubia mkutano wa mwaka wa Amnesty International 📌Amepongeza shirika hilo kwa kusimama kidete kutetea haki 📌Azungumzia matamanio ya watoto #Gaza ya kwenda "mbinguni" kwani huko wanasema kuna chakula. Anold Kayanda 𝕃𝕖𝕒𝕙 𝕄𝕦𝕤𝕙𝕚

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

MUHTASARI na Anold Kayanda 📌Dalili za baa la njaa #Gaza #IPC Vigezo 2 kati ya 3 viko dhahiri 📌Mkutano wa maspika wa mabunge IPUparliament 📌Huko #Brazil wanajadili tabianchi na afya #Climate #health PAHO/WHO

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa leo ni tamati ya #WorldBreastfeedingWeek Anold Kayanda anamulika akina mama wenye magonjwa sugu kama #diabetes wanafanya nini kuhakikisha wananyonyesha watoto wao. WHO Tanzania Shukrani sana kwa Evarist Mapesa wa Muhimbili National Hospital